HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Mchele Ni Kama Gari Aina Ya Benz...Nadhani Umenielewa Mtu Pori....Ila sasaiv mchele hauna heshima heshima yake imeshuka π
Ila sasaiv watoto wako wanachezea wali mpaka wanamwagaZamani mchele utauonea wapi bei yake ilikia ni mara 3 ya unga, unga ilikua kilo ni Tsh 50/= mchele kilo ilikua ni Tsh 150/= hii 150 ukiwa nayo ilikua unaweza kununua baiskeli mpya, kwahiyo kilo moja ya mchele ilikua ni sawa na bei ya baiskeli
Dah mimi mpaka leo napenda chapati na tambi japo chapati siwezi kula zaidi ya mbili tuMchele mimi nilikuwa napenda nikiona pamepikwa ugali najifanya naumwa nanunuliwa chips kuna siku wakaniacha nikalala njaa nikawaamsha usiku π
Ahaah kweli haya mambo bado yapo?Kuna mtoto wa jirani juzi kaoga mapema kwasababu ya wali kupikwa asee cha mtume nomasana
Sana sanaaa bidhaa adimuMchele Ni Kama Gari Aina Ya Benz...Nadhani Umenielewa Mtu Pori....
Mh mm napenda samakiDah mimi mpaka leo napenda chapati na tambi japo chapati siwezi kula zaidi ya mbili tu
Samaki pia napenda mno kama mboga lakini π€£π€£Mh mm napenda samaki
Aisee mambo hayaMchele mimi nilikuwa napenda nikiona pamepikwa ugali najifanya naumwa nanunuliwa chips kuna siku wakaniacha nikalala njaa nikawaamsha usiku π
Mimi napenda samaki choma au abanikwe na kuku ivyo ivyo na chips pembeni π au ugaliSamaki pia napenda mno kama mboga lakini π€£π€£
Siku hiyo ratiba zote tunamaliza mapema iwe kusomba majani au kuchota majiNgoma mpaka ipikwe ilikua ni shughuli na likipikwa tulikua tunasugua ndala zetu za bata bata zinga'aa kinouma na kitaa tunatangaza bifu kwa wenetu kuwa hatuchezi nao yaniπ€
raraa reree alienda wapi??Ngoma mpaka ipikwe ilikua ni shughuli na likipikwa tulikua tunasugua ndala zetu za bata bata zinga'aa kinouma na kitaa tunatangaza bifu kwa wenetu kuwa hatuchezi nao yaniπ€
Mshua mwenyewe hakubali mtoto atumwe mchele,yupo radhi apime mwenyeweWewe ni kijana wa 2000 itakuwa , zamani zetu huo mchele wa mpaka wewe utumwe ukaupime utakua umefanya jambo la ushujaa kijiji kizimaπ€
π kabisaMshua mwenyewe hakubali mtoto atumwe mchele,yupo radhi apime mwenyewe
Baba siku hiyo hata klabuni haendi utakuta anazungukazunguka hapohapo homeSiku hiyo ratiba zote tunamaliza mapema iwe kusomba majani au kuchota maji
mchele wa siku hizi nao hauna ladha ulishavurugwa enzi zetu mchele ukipikwa unanukia unasikia harufu ukiwa mtaa wa pili.Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali ππ dah nimekumbuka mbali
Atakua bize na majukumu bwasheeraraa reree alienda wapi??
Wali unapikwa watoto ,hata hawashtuki,kweli kila Era na kitabu chakemchele wa siku hizi nao hauna ladha ulishavurugwa enzi zetu mchele ukipikwa unasikia harufu ukiwa mtaa wa pili
Mambo yamebadilika sana naona hata wali wenyewe haunukiii vizuri kama kipindi kile sijui ni mchele hybrid, mapishi au tumeuzoea sanaBaba siku hiyo hata klabuni haendi utakuta anazungukazunguka hapohapo home
Na mama yangu alikua dicteta unakula ubwabwa wa kitumbo huku unasimangwaSiku hiyo ratiba zote tunamaliza mapema iwe kusomba majani au kuchota maji