Au kwa sasa tumeuzoea kwa vile tunaula kila siku au???Pale kijijini kwetu ilikuwa ukipita jirani na bonde la mpunga basi you can feel the smell haswaaaa, na imani unaijua vyema harufu ya mpunga mzuri.
Na hiyo ya kuoga mapema ilitokana pia na umoja wa mataifa(wazazi) kuwa na tabia ya kufanya inspection pindi wali unapopikwa then unawekewa vikwazo vya kutokula, kwhy wajanja walikuwa wanajiondelea vikwazo mapema.Nilikua Naoga Mapema Sana Nikishaona Mida Ya Saa Kumi Na Mbili Jioni,,Mama Ametenga Kigoda Chake Na Tenge Lake Mwenyewe Anapeta Mchele...Daaahh!!What The Memories...???π
π π πAu kwa sasa tumeuzoea kwa vile tunaula kila siku au???
π πKwangu mimi haikuwa hivyo bali ilikuwa sheria kudokoa wali uliolala kabla ya kwenda shule hadi leo hiwa najiibia
πNa hiyo ya kuoga mapema ilitokana pia na umoja wa mataifa(wazazi) kuwa na tabia ya kufanya inspection pindi wali unapopikwa then unawekewa vikwazo vya kutokula, kwhy wajanja walikuwa wanajiondelea vikwazo mapema.
Wewe ulikuwa mtamu balaaaKwangu mimi haikuwa hivyo bali ilikuwa sheria kudokoa wali uliolala kabla ya kwenda shule hadi leo hiwa najiibia
Yaan acha tuWewe ulikuwa mtamu balaaa
Mchele wanarushiwa kukuIla sasaiv watoto wako wanachezea wali mpaka wanamwaga