KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazipenda tena wengine wanasema ukizinyoa usinitafute au ukizinyoa usikae karibu yanguHao wenzangu watapita hapa waseme kama wanataka za Alshabab🥲
Mwanaume hana ndevu alafu katoboa sikio hata marinda yametoboka
Hana tofauti na wale wamama wenye ndevu.😂😂Kwani hizo sio ndevu?au tujindevu?
Beberu hawezi kupruniTutafute hela videvu hata beberu wanavyo
Uwezo huo hana sio kwamba hapendi😂😂Kwa Nini anakuwa hivyo Sasa huyo best Yako? mwambie aviache viwe virefurefu
Ndevu za kidevuni ni mahsusi kwa kuzamia uvinza, zinachomachoma hivi.Mimi kitambi hapana kwakweli yaani huwa nainagine akivua nguo anakuaje basi stimu zinakata.....ila pia ndevu sipendi
Aagh mkuu ni kweli....ila mimi sipendi huyo mwenye ndevu labda nimuangalie tu ila asiwe wanguNdevu za kidevuni ni mahsusi kwa kuzamia uvinza, zinachomachoma hivi.
Huu ndio urithi pekee tulionao.[emoji1787][emoji1787]
Mkuu,Aagh mkuu ni kweli....ila mimi sipendi huyo mwenye ndevu labda nimuangalie tu ila asiwe wangu
Hizo earings tu ndio zimeharibu.