Mliwarithisha kina nani? Sasa hivi ni kama jukwaa halina wanawake kabisa.Mimi kipindi najiunga 2014 kulikuwa na wadada wa dada hao ndo walikuwa si mchezo.
Karucee
Husninyo
Madame B
Heaven Sent
Evelyn Salt
Ilipofika 2017 ikawa zamu yetu sasa
Cc.
ukhuty
Joanah
Sakayo
Shunie
Tulikuwa walevi wa Jf hasaaa. Yaani mpaka kupika saa ingine tulikuwa tunapika huku tumeshika simu tusipitwe na ya Jf. Lol. π
Sasa hivi umri ushaenda tena mambo yamekuwa mengi tunaonekana kwa nadra.
ππAbeeee
Khaa!Mimi kipindi najiunga 2014 kulikuwa na wadada wa dada hao ndo walikuwa si mchezo.
Karucee
Husninyo
Madame B
Heaven Sent
Evelyn Salt
Ilipofika 2017 ikawa zamu yetu sasa
Cc.
ukhuty
Joanah
Sakayo
Shunie
Tulikuwa walevi wa Jf hasaaa. Yaani mpaka kupika saa ingine tulikuwa tunapika huku tumeshika simu tusipitwe na ya Jf. Lol. π
Sasa hivi umri ushaenda tena mambo yamekuwa mengi tunaonekana kwa nadra.
Sijafahamu.Kwanini wameufuta? Mbona uzi mzuri au nieleweshe shida imekuwa nini?
Nipo π€©
Mkuu BelindaJacob nimemkumbuka saaana huyu mremboMzee baba...
Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...
Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...
Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...
Ah ah ah niffer huyoKuna yule mwandika udaku alikua girlfriend wa jamaa wa makala za ujasjusi nimemsahau .
Hapo mambo yalikuwa Moto sanaaMimi kipindi najiunga 2014 kulikuwa na wadada wa dada hao ndo walikuwa si mchezo.
Karucee
Husninyo
Madame B
Heaven Sent
Evelyn Salt
Ilipofika 2017 ikawa zamu yetu sasa
Cc.
ukhuty
Joanah
Sakayo
Shunie
Tulikuwa walevi wa Jf hasaaa. Yaani mpaka kupika saa ingine tulikuwa tunapika huku tumeshika simu tusipitwe na ya Jf. Lol. π
Sasa hivi umri ushaenda tena mambo yamekuwa mengi tunaonekana kwa nadra.
Wadada watamuuWadada wa watu wewe wa nini mkuu? Kwa nn unawafikiria wadada tu?
Mimi kipindi najiunga 2014 kulikuwa na wadada wa dada hao ndo walikuwa si mchezo.
Karucee
Husninyo
Madame B
Heaven Sent
Evelyn Salt
Ilipofika 2017 ikawa zamu yetu sasa
Cc.
ukhuty
Joanah
Sakayo
Shunie
Tulikuwa walevi wa Jf hasaaa. Yaani mpaka kupika saa ingine tulikuwa tunapika huku tumeshika simu tusipitwe na ya Jf. Lol. π
Sasa hivi umri ushaenda tena mambo yamekuwa mengi tunaonekana kwa nadra.
Shunie, lara1
Nakumbuka maandishi yako, ulisema tusikufokee unamimba.
Jf hii itoe wadada watamu?Wadada watamuu
Nakumbuka alikuwepo huyu mdogo wangu Bacyclerbacy na wengine nimewasahau sijui wako wapi sasa.Mliwarithisha kina nani? Sasa hivi ni kama jukwaa halina wanawake kabisa.
Yaani. Na ndo ninakoelekea. πππKhaa!
Itafika kipindi utaacha kabisaπ,
Yaani. Ile ndo ilikuwa Jf bana.Hapo mambo yalikuwa Moto sanaa
Nakumbuka ule Uzi wa Ali kiba na ule special thread wa diamond
Kule kulikuwa kunechangamka team kiba Vs Tim dai...
Kuna mmoja alikuwa anaitwa everlenk I hope she is around..
Yaani. Ukilala ukiamka kuna uzi huu.Hizo enzi afadhali ziliisha
Zile mambo za kuanzishiana uzi kila kukicha zilikuwa zinakera balaaa
Japo ni kweli JF ilikuwa inanoga kuliko wakati huu
hebu nitajie ni mwaka gani na jukwaa gani nikasome hizo interview zenu naweza kupata kituπYaani. Ukilala ukiamka kuna uzi huu.
Unakumbuka zile nyuzi wa za Interview. Yule member kanitoka jina. ππ
Yaani ikitokea jioni sijui zamu ya fulani basi mapema tuko online.