Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hongera na pole kwa majukumu.Mdogo angu nipo ulezi ulinipeleka mchaka mchaka, umri unasogea majukumu yanazidi kuwa mengi. Nimekumiss mama
Alii i- isuu gavooo kwenye harakati za uchaguzi wakampa Kesi ya uhujumu uchumi alikamatwa akiwa iringa I thinkHeeeee
Why? 🤔au yale masomo yake ya humu?
😂😂😂😂 umejuaje? Haukuwepo ubuyu kweli? Fanya kunidokezeaa.Unawaza tu umbea Coca😂😂😂
Lol 🤣 Kila Nabii na kitabu chakeSijui chochote
Hahaaa
Nilijiunga sbb ya siasa , duh 2013 kwenda 2014 hivi....🤣🤣Sasa sawa, jambo forums nilikua naingia tu as guest, 2010 Kuna ishu Moja muhimu ikabidi nijiunge
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 umejuaje? Haukuwepo ubuyu kweli? Fanya kunidokezeaa.
Ama kweli 🤣🤣🤣Lol 🤣 Kila Nabii na kitabu chake
Hamna ubuyu wowote.😂😂😂😂 umejuaje? Haukuwepo ubuyu kweli? Fanya kunidokezeaa.
Duh ila Malawi jau snAlii i- isuu gavooo kwenye harakati za uchaguzi wakampa Kesi ya uhujumu uchumi alikamatwa akiwa iringa I think
Oooh hapo sawa.Hamna ubuyu wowote.
Wakongwe wanakumbukana tu.
Sawa sawa,hujanicheki kwa Namba , Mtumishi kupata ratibaNilijiunga sbb ya siasa , duh 2013 kwenda 2014 hivi....🤣🤣
UmekuaMiaka unakimbia.
10 yrs back nilikuwa hata taarifa ya habari siangalii.
Sasahivi ikifika saa 2 nipo kwenye tv nawaambia watoto wekeni taarifa ya habari.
Zile elements za Baba za kupenda taarifa, ndio ninazo mimi.
Dah hata sijui vzr ,kule X ndio habari ziliwekwa sanaHeeeee
Why? 🤔au yale masomo yake ya humu?
Bora umepitwa tu mlongoUzi umetembea huu, nahisi kulikua na mengi afu nimepitwaa.
Alooooh.
🤣🤣🤣Sawa sawa,hujanicheki kwa Namba , Mtumishi kupata ratiba
Sawa Mtumishi,natulia km 1🤣🤣🤣
Tulia nitakupa ratiba
Salama braza KakaKiizaWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Miaka yote hiyo na huna mtu wa kuongea nae, una shida gani Tayana😅😅 au mama wachungaji hawaruhusiwi kumingo?Mbona mi sina