Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

Mahari ni kibali/izni ya kuelekea makubaliano ya pande 2,huo ni sawa kipengele cha mkataba na mind you hkn mkataba wa bure kwan ukiwepo thaman ya kitu hakitaonekana.
 
Kwani humuwezi oana bila kulipishana mahari ?
 
Mahari ni kibali/izni ya kuelekea makubaliano ya pande 2,huo ni sawa kipengele cha mkataba na mind you hkn mkataba wa bure kwan ukiwepo thaman ya kitu hakitaonekana.
Kwa hiyo mwanamke ana thaminishwa na kitu ?
 
We umeambiwa mahari kiasi gani tukuchangie wanajamii forum!?

Maana kwa hayo manung’uniko ni ishara ya kupungukiwa mahari.

We can help you, we are family!
 
We umeambiwa mahari kiasi gani tukuchangie wanajamii forum!?

Maana kwa hayo manung’uniko ni ishara ya kupungukiwa mahari.

We can help you, we are family!
Maswali yamegeuka kuwa manung'uniko duuuuh! mpya hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…