GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
MamboAbeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MamboAbeee
PoaaaMambo
ni kweli mambo yamebadilika ndoa za mkataba haziepukikiKibao kimegeuka maana wanawake wengi hawafati vile wanavyotaka. Hawakubaliani na mila gandamizi.
Wamebaki tu kusema kwamba wanawake wa sasa hawafai kuoa afadhali kipindi cha bibi zetu.
Itapendeza, tatizo watu wabishini kweli mambo yamebadilika ndoa za mkataba haziepukiki
Kwani humuwezi oana bila kulipishana mahari ?Ni utaratibu pia, Je mtoto anabeba jina la ukoo wa mwanamke au mwanaume kwa wahindi?
Katunzwa ila nafasi yake katika jamii inamweka hapo kuwa alipe mahari, atoe ulinzi, malazi, afya na chakula kisha yeye azaliwe watoto, wabebe jina lake, mke amtunze na kulea watoto wake.
Wewe ulitaka utaratibu uweje? Usilipe mahari halafu mwanamke asifanyaje? Maana ni suala la nafasi ya mwanaume na mwanamke katika jamii na utaratibu sahihi wa kuhakikisha hizo nafasi zinaheshimiwa.
Sasa kama hutaki hiyo nafasi uliyopewa upo tayari kubadilishana na nafasi ipi kutoka kwa nafasi alizopewa mwanamke?
Kwa hiyo mwanamke ana thaminishwa na kitu ?Mahari ni kibali/izni ya kuelekea makubaliano ya pande 2,huo ni sawa kipengele cha mkataba na mind you hkn mkataba wa bure kwan ukiwepo thaman ya kitu hakitaonekana.
unaweza kwenda dukani ukapewa mchele bure?Kwani humuwezi oana bila kulipishana mahari ?
unajua maana zawadi?unajua maana ya thamani?Kwa hiyo mwanamke ana thaminishwa na kitu ?
Kwa hiyo mwanamke ni sawa na mchele ?unaweza kwenda dukani ukapewa mchele bure?
hata wewe ni mcheleKwa hiyo mwanamke ni sawa na mchele ?
We umeambiwa mahari kiasi gani tukuchangie wanajamii forum!?Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Nilikuwa sijui asante kwa kunijuzahata wewe ni mchele
Maswali yamegeuka kuwa manung'uniko duuuuh! mpya hiiWe umeambiwa mahari kiasi gani tukuchangie wanajamii forum!?
Maana kwa hayo manung’uniko ni ishara ya kupungukiwa mahari.
We can help you, we are family!
PamojaNgoja waje kukupa muongozo...
Niambie wewe unaejua pia ina uhusiano gani na kuoa/kuolewa ?unajua maana zawadi?unajua maana ya thamani?
NAKAZIA.mi naona mahari ifutwe ili twende sawa na ile 50/50
sasa ataoa wapi? bongo hii atateseka sanaKama hako kautaratibu haukubaliani nako achana nako
Kwanini upangiwe maisha? Weka utaratibu wako ambao unaona ni sawa...easy
Basi akubaliane na yaliyoposasa ataoa wapi? bongo hii atateseka sana