Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

Mahari ni kibali/izni ya kuelekea makubaliano ya pande 2,huo ni sawa kipengele cha mkataba na mind you hkn mkataba wa bure kwan ukiwepo thaman ya kitu hakitaonekana.
 
Ni utaratibu pia, Je mtoto anabeba jina la ukoo wa mwanamke au mwanaume kwa wahindi?

Katunzwa ila nafasi yake katika jamii inamweka hapo kuwa alipe mahari, atoe ulinzi, malazi, afya na chakula kisha yeye azaliwe watoto, wabebe jina lake, mke amtunze na kulea watoto wake.

Wewe ulitaka utaratibu uweje? Usilipe mahari halafu mwanamke asifanyaje? Maana ni suala la nafasi ya mwanaume na mwanamke katika jamii na utaratibu sahihi wa kuhakikisha hizo nafasi zinaheshimiwa.

Sasa kama hutaki hiyo nafasi uliyopewa upo tayari kubadilishana na nafasi ipi kutoka kwa nafasi alizopewa mwanamke?
Kwani humuwezi oana bila kulipishana mahari ?
 
Mahari ni kibali/izni ya kuelekea makubaliano ya pande 2,huo ni sawa kipengele cha mkataba na mind you hkn mkataba wa bure kwan ukiwepo thaman ya kitu hakitaonekana.
Kwa hiyo mwanamke ana thaminishwa na kitu ?
 
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.

Sasa tuizungumzie "mahari"

1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?

2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
We umeambiwa mahari kiasi gani tukuchangie wanajamii forum!?

Maana kwa hayo manung’uniko ni ishara ya kupungukiwa mahari.

We can help you, we are family!
 
We umeambiwa mahari kiasi gani tukuchangie wanajamii forum!?

Maana kwa hayo manung’uniko ni ishara ya kupungukiwa mahari.

We can help you, we are family!
Maswali yamegeuka kuwa manung'uniko duuuuh! mpya hii
 
Back
Top Bottom