Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

Wa kawe tumesahaulika wapi genta mzee ya makaburi 3
 
Mbona wewe unaishi kigogo halafu unauliza hili swali?
 
Alafu akishafukuzwa kwa shemeji anaanza kuuza mtaro
 
Zamani haya maeneo yalikuwa masafi sema nyie waluga luga mliotoka huko mbwinde ndio mlikuja chafua jiji letu
 
Unauliza kwa maana ya Jiografia, kiutawala au kiustaraabu.

Naamini ulikulia mikoani na ukaaminishwa kwamba Dar ni pazuri sana.

Acha na huo ujinga, tafuta pesa. Kila mahali ni pazuri ukipatengeneza
 
Kuishi dar uswahilini kwenye Joto kali, usafiri shida, miundombinu mibovu , kiukweli bora kijijini kwenye kamjengo kako.
 
Wewe mbna unaishi mchafu kuoga na unasema upo mjiniiii
 
Nimezaliwa Dar nimekulia Dar, kwa kifupi sehemu kubwa ya Dar ni hovyo ila hayo maeneo ni hovyo zaidi ni takataka
Basi kama umezaliwa Dar na kukulia Dar basi utakuwa ni shoga wa Sinza au mikocheni pale panapotuama maji.

Mjanja wa born here here hawezi kujivuna kwa ukaazi.
 
Kama umekaa mkoa muda mrefu kwa maisha safi safi, Dar huwezi kukaa
 
Mmh ila kiukweli ht mi Kuna maeneo dar siwezi ishi🀣
 
Basi DAR HAUIJUI vizuri na kama sio hivo utakua mgeni wa jiji, kuna watu maeneo hayo wanamaisha mazuri kuliko wengi wa mbweni, goba , madale, mbezi beach na kadhalika na maeneo hayo hayo kuna sehemu kiwanja Tu bila bilioni moja bado hujakigusa ,
Wewe Sasa umezidisha..
Kiwanja bilioni?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi DAR HAUIJUI vizuri na kama sio hivo utakua mgeni wa jiji, kuna watu maeneo hayo wanamaisha mazuri kuliko wengi wa mbweni, goba , madale, mbezi beach na kadhalika na maeneo hayo hayo kuna sehemu kiwanja Tu bila bilioni moja bado hujakigusa ,
Huyo hawezi kuwa mimi Mkuu 😎
 
Gongo la Mboto ni karibu zaidi na Kisarawe kuliko Dar mjini Mchafukoge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…