Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii?

Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako.

Screenshot_2023-09-14-17-23-26-1.png
Screenshot_2023-09-14-17-23-34-1.png
Screenshot_2023-09-14-17-23-41-1.png
Screenshot_2023-09-14-17-23-45-1.png
Screenshot_2023-09-14-17-23-50-1.png
 
sehemu kubwa ya watu unaowaona wapo kwenye mtoko,,,kushangaa msafara wa raisi na kumuona raisi mwenyewe wamekua wakimtazama tu kupitia mitandao na TV.

Na kuhusu Mabango hayo yanatoka kwa viongozi wa CCM wa mashina,matawi nk

wakati wengine wanapoyaona mapungufu ya CCM,, kuna wengine ndio sehemu ya kupata mkate wao wa kila siku.
 
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii ?

Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako .
Usicho kijua ni kwamba rais akija mkoani kwako basi ujue UWT na UVCCM wa mikoa jirani wanasafirishwa bure kutoka huko waliko
 
Back
Top Bottom