Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

Gharama Huwa jazikwepeki,

Mfano bodaboda kuwekewa mafuta na wanasiasa, Si CCM pekee, hata CDM pia hufanya.

Twende mbele zaidi.
 
Mimi niliwahi kwenda kwenye mkutano wa kisiasa wa chadema na ccm kwa siku moja wakati tofauti, je hapo ni kosa.?
 
Hahahahahaaaaaa!

Haters hadi kufika 2030 mtakuwa mmeteseka vya kutosha kiasi kwamba mnaweza kujikuta mnajisaidia haja kubwa bila kujitambua.

Huyo ndo mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.
Kina Bashiru na polepole, wakiwa ikulu, walichemka kumfanyia figisu za kumtoa.....ulikuwa ni mpango mahsusi wa mwenyezi Mungu ili tuje kushuhudia haya mabadiliko.
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii ?

Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako .

Kama wewe humkubali wengine wanamkubali
Usiforce wote tumchukie rais bila sababu
 
Ukiuliza mtu wa chadema kwann tumchukie rais atakuambia kauza nchi [emoji81][emoji81]sababu nyingine hana
Ukirejea sababu aliyekupa nayo ni uongo
 
Ndugu yangu Elimu elimu elimu.... Nyerere ametumaliza😭😭😭😭
Kwa nini unasingizia Nyerere? Unajua kipindi cha Nyerere ndicho elimu ilikuwa bora na wahitimu walikuwa wanajitambua? Ulizia historia ya vyuo vikuu vya zamani usikie moto wake. Ndiyo ilikuwa chemchem ya maarifa, kuihoji serikali na kuongoza migomo. Ingekuwa ni zamani hii kashfa DP world vyuo vikuu ndiyo wangekuwa viongozi wa kuhoji.
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii ?

Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako .
Hapo kuna Chawa,Wakereketwa,Wafulukutwa na Wafia Chama.Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anamsimiliza huyu Bibi.
 
IMG-20230910-WA0003.jpg
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii ?

Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako .
Mambo kama haya kunakuwa na combination ya mambo mengi. Matumizi ya fedha, mkumbo wa kijinga, uhamasishaji, ushamba na ulimbukeni, kutokuwa na kazi za kufanya nk. Halafu wengi ni wale wasiojua hata leo jioni watakula nini. All in all, Tanzania bado watu hawajajua correlation kati ya maisha yao na siasa. Wanachukulia siasa kama ushabiki wa mpira ambao timu ifungwe au ifunge, haisadii chochote kwenye kipato chao.
 
Hapo kuna Chawa,Wakereketwa,Wafulukutwa na Wafia Chama.Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anamsimiliza huyu Bibi.

Mkuu Tupo 60m utasemaje wote wasimskilize rais akati ndio kiongozi wa taifa yaani nikae kumskiliza lisu ambae hana msaada na mm
Upinzani ukiingia madarakan ntauskiza sio saiv hawana power yeyote kikatiba niwaskize ili iweje
Ni sawa na kuacha kumsikiliza baba yako anayekuhudumia kisa ni mlevi afu umskize baba wa jirani kisa mlokole
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii ?

Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako .
Mbona ni rahisi sana kupata jibu la swali lako mkuu 'Erythro', nami ningekuhimiza wewe; lakini hasa hasa wahusika katika chama (CHADEMA) walitafute hilo jibu la swali, kwani ni huko huko yatapatikana na majibu ya maswali mengine mengi mtakayotakiwa kupambana nayo wakati wa uchaguzi.

Kama hujui swali, huwezi pia kujua jibu; kwa hiyo anzeni sasa hivi kujiuliza maswali kama haya, hata kama yataonekana kuwa ya kijinga kwa sasa, kwa sababu mkiyajua, mtajua pia njia za kuwazuia CCM kuendelea kufanya uhalifu wao wa miaka yote.

Huenda nimekuzungusha sana akili kwa jibu langu hapa, lakini naomba univumilie na jitahidi kunielewa ninacholenga hasa.

CCM hawajabadili mchezo wao, na wala hawana nia ya kubadili mchezo huo; itasikitisha sana kwenu kutolitambua hilo wakati huu na kulipatia jibu sahihi.

CCM kuna pesa nyingi sana za kuchezea kila aina ya uchafu, na hasa matumizi ya uchaguzi ujao yatakuwa makubwa sana. Wafadhili wao tayari wamejipanga mstari kutimiza ahadi, ili CCM iendelee na wao watunyanyase zaidi.
Waarabu wanayo pesa nyingi sana, usifanye mchezo na hili; na hakuna sheria yoyote hapa inayoweza kuwazuia CCM kuchukua pesa chafu mahali popote ili itimize malengo yake.

Sikuwa na nia ya kutoa jibu, lakini nimejikuta tayari nshajibu swali lako.
 
Mkuu Tupo 60m utasemaje wote wasimskilize rais akati ndio kiongozi wa taifa yaani nikae kumskiliza lisu ambae hana msaada na mm
Upinzani ukiingia madarakan ntauskiza sio saiv hawana power yeyote kikatiba niwaskize ili iweje
Ni sawa na kuacha kumsikiliza baba yako anayekuhudumia kisa ni mlevi afu umskize baba wa jirani kisa mlokole
Pumba tupu !
 
Back
Top Bottom