Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

Kazi kubwa inayowakabili CHADEMA tokea sasa hadi chaguzi zijazo, ni kujaribu kupunguza idadi ya hawa wajinga miongoni mwetu.
Njia pekee ya kujaribu hili ni kutumia viongozi wa chdema walioko huko mashinani kujaribu kutoa elimu kwa hawa watu. Kuna watakaoelewa miongoni mwao.

Utachoka pale utapogundua huko CDM asilimia kubwa ya wanachama hata viongozi wao ni miongoni mwa hao wajinga. Mbofu saidi wako wanarandaranda mitaani wakiwa tayari na price tags wakisubiri lini na nani atafika bei?
 
Kwa bei ya petrol kwa lita hapa nchini hivi sasa, ndio uone bodaboda walivyo na upendo kwa viongozi kwa kuweka mafuta vyombo vyao na kujitokeza kwa wingi kwenye nsafara.
Hao wenye nyoyo za ujasiri wa aina hii kuridhika moyoni na kuwa na amani kwamba wanapendwa na kukubalika kiasi hiko.
Nyoko anajisifia kumuokoa samaki aliyekua anazama majini
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii?
Bila ya kupepesa macho, Hao wameandaliwa na tena kwa bajeti maalum, iliyowezehsakupatikana kwa haya mabango na fulana Hivyo sio wanachi, kama hawa pichani hapa chini.
1694747225412.png

---
1694747239768.png
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii?

Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako.

View attachment 2749217View attachment 2749218View attachment 2749220View attachment 2749221View attachment 2749222

Huko kusini mafuta yauzwe 9500/= hawana shida ndogo ndogo za pesa!
Wakiuza panya mmoja tayari bajeti ya mwezi hiyo!!
Hao wanachohitaji ni mbegu bora za panya!
 
Hapo wengi ni watumishi wa serikali, wakurugenzi wa hayo maeneo wana Tabia ya kuchukua wafanyakazi hasa waalimu na kwenda kuwapanga barabarani. Hapo raia wa kawaida ni wachache.
 
Sasa hapa si ni kujitekenya na kucheka yeye mwenyewe. I’m sure anajua sana nini kinaendelea.
 
Hela ya DP WORLD inakazi gani? Huoni Kitenge Kawa taahila fulani

Wanufaika wa uRais wake lazima wamwage hela kwelikweli ili yao yawaendee. Na ndio itakuwa hivi 2025. Yeye anaweza asiwe willing sana kuendelea, ila wanufaika sasa, watapigana kufa kupona, ali mradi aendelee na wao wafaidi nchi.
 
Back
Top Bottom