RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Upo sahihi kitenge n kama kadata kabsa ....Hela ya DP WORLD inakazi gani? Huoni Kitenge Kawa taahila fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kitenge n kama kadata kabsa ....Hela ya DP WORLD inakazi gani? Huoni Kitenge Kawa taahila fulani
Kazi kubwa inayowakabili CHADEMA tokea sasa hadi chaguzi zijazo, ni kujaribu kupunguza idadi ya hawa wajinga miongoni mwetu.Mambo kama haya kunakuwa na combination ya mambo mengi. Matumizi ya fedha, mkumbo wa kijinga, uhamasishaji, ushamba na ulimbukeni, kutokuwa na kazi za kufanya nk. Halafu wengi ni wale wasiojua hata leo jioni watakula nini. All in all, Tanzania bado watu hawajajua correlation kati ya maisha yao na siasa. Wanachukulia siasa kama ushabiki wa mpira ambao timu ifungwe au ifunge, haisadii chochote kwenye kipato chao.
Unaijua VIEITE wewe ?Upo sahihi kitenge n kama kadata kabsa ....
Kazi imeanza miezi 24 iliyopita na ndio maana imekuwa rahisi sana kwenye oparesheni 255Kazi kubwa inayowakabili CHADEMA tokea sasa hadi chaguzi zijazo, ni kujaribu kupunguza idadi ya hawa wajinga miongoni mwetu.
Njia pekee ya kujaribu hili ni kutumia viongozi wa chdema walioko huko mashinani kujaribu kutoa elimu kwa hawa watu. Kuna watakaoelewa miongoni mwao.
Tena wazalendo kwelikweliWananchi wazalendo
Hawa hawajui kusoma na kuandika watakuwa wameandikiwa na Lissu
Maskini bodaboda wamenunaaa dahInawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii?
Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako.
View attachment 2749217View attachment 2749218View attachment 2749220View attachment 2749221View attachment 2749222
Chalamila alisema wananchi waende na mabango akaliwa kichwaMabango yameandaliwa Dar kwenda kutumika mtwara
Watanzania waliovaa sare?soma swali vizuri ili uweze kujibu kuna mapokezi ya wananchi wa kawaida kabisa wakiwa hawajavalia sare wala mabango ya kutengenezwa ingependeza tungeona hayo lakini si hiki katika hizo picha hawa wamejipanga bwana tusidanganyaneKejeli nimejibu kwa hekima
Maana kwa akili za kawaida huezi uliza huo upuuzi na hali waona hao ni watz wenzako
Aliwahi kuchaguliwa lini na wapi , ikiwa kwenye ubunge kikwajuni aliangukia pua ?Ulienda lini na ukaambiwa kuwa hawana uwezo wa kununua chumvi na sukari. Hata hivyo lazima ufahamu ya kuwa Rais samia anakubalika sana na kupendwa sana na mamilioni ya watanzania.ndio maana kila anapokwenda anapokelewa na umati mkubwa sana wa wananchi.
Ila kumbuka kwamba alikataa mabango ya kero za wananchi badala yake anataka mabango yanayomsifia.Ulienda lini na ukaambiwa kuwa hawana uwezo wa kununua chumvi na sukari. Hata hivyo lazima ufahamu ya kuwa Rais samia anakubalika sana na kupendwa sana na mamilioni ya watanzania.ndio maana kila anapokwenda anapokelewa na umati mkubwa sana wa wananchi.
Maskini bodaboda wamenunaaa dah