Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?


Utachoka pale utapogundua huko CDM asilimia kubwa ya wanachama hata viongozi wao ni miongoni mwa hao wajinga. Mbofu saidi wako wanarandaranda mitaani wakiwa tayari na price tags wakisubiri lini na nani atafika bei?
 
Nyoko anajisifia kumuokoa samaki aliyekua anazama majini
 
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii?
Bila ya kupepesa macho, Hao wameandaliwa na tena kwa bajeti maalum, iliyowezehsakupatikana kwa haya mabango na fulana Hivyo sio wanachi, kama hawa pichani hapa chini.

---
 

Huko kusini mafuta yauzwe 9500/= hawana shida ndogo ndogo za pesa!
Wakiuza panya mmoja tayari bajeti ya mwezi hiyo!!
Hao wanachohitaji ni mbegu bora za panya!
 
Hapo wengi ni watumishi wa serikali, wakurugenzi wa hayo maeneo wana Tabia ya kuchukua wafanyakazi hasa waalimu na kwenda kuwapanga barabarani. Hapo raia wa kawaida ni wachache.
 
Sasa hapa si ni kujitekenya na kucheka yeye mwenyewe. I’m sure anajua sana nini kinaendelea.
 
Hela ya DP WORLD inakazi gani? Huoni Kitenge Kawa taahila fulani

Wanufaika wa uRais wake lazima wamwage hela kwelikweli ili yao yawaendee. Na ndio itakuwa hivi 2025. Yeye anaweza asiwe willing sana kuendelea, ila wanufaika sasa, watapigana kufa kupona, ali mradi aendelee na wao wafaidi nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…