Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
-
- #61
Huu ndio upuuzi unaotakiwa kupigwa vitaHakuna jamii inayoitwa Wapalestina. Palestina ni jina lililobadilishwa kutoka Israel. Hao wanaojiita Wapalestina ni waarabu na tayari wana nchi zao nyingi tu takriban 20. Kwanini wanganganie nchi ya wenzao?
When the weak started to resist..The strong do what they can and the weak suffer what they must.-Melian Dialogue.
Sawa na washangiliaji wanapaswa kuuliwaMwana sayansi wa nyuklia ni seemu ya vita ndomana anauliwa mkuu
Goodluck to themWhen the weak started to resist..
Kumbe yaani dr kabisa nazungumzia dr bingwa though, ila nakubaliana na wewee kuhusu kuwa wanaweza kuwa na mipangoHao sio kama sisi…iran siasa zao na uhasama wao na maadui zao wanajua kila kitu….achana na sisi wapumbavu…Afu mkuu unatolea mfano wa madokta 10 kufa wakati kuna madokta zaid ya elf 10 wqko mtaani wana beti?
Ndio kama nchi yangu ipo vitani kuuliwa ni kawaida tuSawa na washangiliaji wanapaswa kuuliwa
" Kichaa kapewa rungu usijaribu kupita mbele yake"Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Acheni unafiki, China anayo mbona hamjaua wanasayansi wake mind you ametishia kuivamia Taiwan.Israel ana nucs.lkn haijawahi kutishia kumpiga yeyote
Lkn ayatolah kila siku akiwa msikitin anaapa kuiangamiza israel akimiliki nucs
Utaona kabisa kuna watu wanastahili kuongozwa sio kuongoza
Kama Urusi ilichukua hatua za kijeshi kwa Ukraine kwa ajili ya kutaka kujiunga na NATO kwa nini Israel ikae kimya kWa İran ambayo imeapa kuingamiza.Kuna shida yeyote Iran kuwasaidia wapalestina wapate Uhuru wa nchi Yao? Nadhani wewe ndio ufanye homework vizuri kujua kwanini wapalestina wananyimwa Haki Yao ya kuwa na taifa huru.
Ni kwamba wazungu wanataka maarifa makubwa wabaki nayo wao tu.Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Hemu toa ushauri sasa Israel alitakiwa afanye kitu gani?Kwa akili yako unazani kuua hao wataalamu itakuwa wamewamaliza na hawatatokea wengine?
Kwa nn utawala wa Iran unataka kuangushwa? Na sio utawala wa Qatar, Saudia,India, Canada, MisriIran hata asipokua na nuclia akitaka kuifuta Israel kwenye ramani anaitandika tu si umeona kinachotokea. Hili suala la Nuklia ni sababu tu inatafutwa ili kuiangusha utawala wa Iran.
Unazani unaowajibu hawajui hilo swala? WOTE AMBAO HAWAELEWI KWA NN ISRAEL IMEISHAMBULIA IRAN NI WAJINGA NA WAPUMBAVUHili ni jambo linalochukua muda, kuandaa mwanasayansi mwenye uzoefu na uaminifu wa hali ya juu si kazi ya siku moja. Na kwa wakati huo ambapo Iran inaanza kuwaandaa wataalamu wa aina hiyo, unadhani Israel watakuwa wamelala? Hapo ndipo unapogundua kwa nini operesheni za Israel zimekuwa zikilenga kimkakati kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Iran.
Una mainisha nn unaposema Israel anataka kutawala Mashariki ya kati?Kauli ya kuifuta Israel imekuja baada ya uonevu wa Israel dhidi ya wapalestina na nchi zote za mashariki ya kati. Israel ana mpango wa " greater Israel" kutawala mashariki ya kati Iran isiposomama itatawaliwa.
Kwa akili yako unawaza Israel kaishia kuuwa tu hao wataalam tu?. Mnaichukukia poa sana Israel sababu ya udogo wake?.Kwa akili yako unazani kuua hao wataalamu itakuwa wamewamaliza na hawatatokea wengine?
upo sahihi lakini kuanza upya siyo rahisi Kama unavyosema. Sababu siyo kuuwa wataalam tu hata sehemu za kimkakati wa kurutubisha na mpaka kuja kutengeneza mabomi ya nyukilia kumeharibiwa pia.Always kujenga nchi ni mikakati ya mda mrefu…wenzetu wana maono kwa hyo sidhani kama hawakujua kua huyo jamaa atakufa either kwa kuuliwa au kufa kikawaida tu….Nuclear itaendelea tu kutengenezwa….They have visions.
Israel ni taifa limmekwa na US na Europe kuwadhuru mataifa ya kiarabu na ya kislam. Israel ana haki ya kumiliki Nuclear wengine hawana hahahahahaHii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
China au Russia ni nchi gani moja wapo ya hizo ishasema kuwa wataifuta nchi nyingine kwenye uso wa dunia?. Iran Hilo ndiyo kosa lake angedili kimya kimya bila kuangaika na Israel angefanikiwa lakini kufanya kila kitu kijeshi kwa ajili ya Israel lazima jicho la Israel liwe pale mda wote.Acheni unafiki, China anayo mbona hamjaua wanasayansi wake mind you ametishia kuivamia Taiwan.
Hata urusi anazo mbona wanasayansi hawauwawi!!
Kama issue ni kufadhili ugaidi, Israel mbona inafadhili waasi wa Sudan na wale wa Kurds kule Syria? Au akifadhili Iran ndio illegal ila Israel ni halali
Uwezagi kuchangia mada bila kutaja uislam?. Kwahiyo inayofadhili makundi ya kupigana na Israel ni Iran au Uislam?. Tenganisha haya mambo. Jitambue sababu unaupa uislam mtazamo hasi kwa watuIsrael ni taifa linmmekwa na US na Europe kuwadhuru mataifa ya kiarabu na ya kislam. Israel aba haki ya kumiliki Nuclear wengine hawana hahahahaha
Israel ana haki ya kuwauwa civilian wengine hawana.
Israel akipigwa Europe na US wanainda mtetea pia na vibaraka wao wa nchi za kiarabu
Any way Israel safari hi kakosea step Iran ana Missiles hakuna anaye weza kutegemea. USA hata apeleke carriers zingine hawezi zuia Missiles za Iran. Netanyahu anajidai na kujisifu US Aur force zibangusha drones na Missiles za Iran lakini bado vitu vinatua Israel.
Afu Iran mnajua sababu gani anarusha Missiles usiku? Ni sababu anawacgezea akili Israel na USA ametengeneza fake Missiles Israel wanaenda zipiga hapo anazudi kuwatia hasara. Akirusha Missiles mchana watagundua hahaha msikilizeni huyo Muiran anasema nini ofcourse wale wanaujua Qur'an kiarabu hakiwapigi chenga.
View: https://youtu.be/BvtkyZ7mlMU?si=TXR3to34qJIvqKhM