Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Umeandika hoja jambo wengi wanakudhihaki, mwanamke ambaye hajakupenda ukimtongoza anaona kama umedharirisha jambo Kuna muda huwa wanatamani kutongozwa, jambo la pili malezi mwanamke aliyolelewa wengine katika makuzi yao wameambiwa usicheke na mwanaume atakuharibia ndio maana wanakuwa aggressive linapokuja suala la mtongozo, jambo la tatu ni hadhi mwanamke huwa anaona ameshushwa thamani anapotongozwa na mwanaume aliye na kipato cha chini, elimu ndogo kuliko yake, au hali ya maisha ya chini kuliko yake, ndio maana baadhi ya wanaume akitaka mwanamke serious wa kuishi naye hujishusha hadhi ili apate mwanamke atakayemkubali kwa hali yoyote. Ukienda kumtongoza mwanamke ukiwa na gari ni mara chache utakataliwa