Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Umeandika hoja jambo wengi wanakudhihaki, mwanamke ambaye hajakupenda ukimtongoza anaona kama umedharirisha jambo Kuna muda huwa wanatamani kutongozwa, jambo la pili malezi mwanamke aliyolelewa wengine katika makuzi yao wameambiwa usicheke na mwanaume atakuharibia ndio maana wanakuwa aggressive linapokuja suala la mtongozo, jambo la tatu ni hadhi mwanamke huwa anaona ameshushwa thamani anapotongozwa na mwanaume aliye na kipato cha chini, elimu ndogo kuliko yake, au hali ya maisha ya chini kuliko yake, ndio maana baadhi ya wanaume akitaka mwanamke serious wa kuishi naye hujishusha hadhi ili apate mwanamke atakayemkubali kwa hali yoyote. Ukienda kumtongoza mwanamke ukiwa na gari ni mara chache utakataliwa
 
Mimi na wewe naomba mtu asituingilie tafadhali, naomba acc# yako, sitaki wewe useme nini unataka...
Waoooh Sasa naona penzi linaanza kuninogea jamani,check WhatsApp nishakutumia🥰
 
Ukiona hali hiyo inatokea ujue umemkera.
Kuna namna ukimtongoza mwanamke hujenga chuki kwa kuona umemdharau.

Kila mwanamke ana namna yake ya kumtokea, ukifanya vinginevyo unamkosa.
1. Kuna wanawake pesa kwao ni kanuni namba 1, ukimpa au ukaonyesha dalili za pesa hapo kwake amelowana.

2. Kuna hawa hujifanya wagumu kwanza lkn deep down yuko tayari anataka umuonyeshe kweli uko siriazi unamtaka atakusumbua kwa muda lkn sio kuwa hakutaki bali angalau ajiridhishe.

3. Kuna wanawake flani nao ukitanguliza pesa huona umemshusha thamani huyu anaweza kukubonda kwa maneno makali sana kuwa kitendo hicho umemshusha thamani...sio kwamba hawapendi pesa au hawataki...no, wana namna yao ya kuwa aprochi...ukimuwezea huwa wana mahusiano matamu sana.

Hitimisho:
Kabla hujaanza blablaa zako za mtongozo hakikisha umeshamjua unayemtaka ni mtu aina gani kati ya hao watatu.

Note: wanawake wote duniani wanapenda pesa lakini wanatofautiana namna ya kutaka kupewa hizo pesa.

Nawaita hapa watupe somo wenyewe: Hannah Joanah To yeye Amehlo
Nourhan Kapeace ephen_

Si ndio[emoji419][emoji419]
 
Jipe muda, kuwa busy na mambo yako...atarudisha mwenyewe stories.
 
Back
Top Bottom