Laiti kama tungelijua neno la Mungu. The word says katika Mith 14:1 "Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake...." Nadhani kama watu tungewekeza kwenye kulijua neno lililo msingi wa familia this shit isingetokea. Tukiadvice tunaonekana walokole sana lakini ndo mbomoko wa familia huanzia hapa.
My take..if the family wants success as an entity tusimtaje Mungu mdomoni au kwenye kutype tu..embu tumtafute kweli maadam anapatikana, neno linasema Kwa maana wale waliitao jina la Bwana ndio watakaookoka. Kama ni mwanaume utapata mke bora (sio mkamilifu) lakini bora wa kiwango cha Standard Gauge....lakini if you as a man hutaki kusuccumb to your master akupe mke bora wa maisha yako..unatumia vigezo unavyovijua wewe fine if you get lucky haya..ila if you are not..haloooo ndo malalamiko hapa..hayataisha
#nimaonitu#