Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Hakuna mambo ya zamani na ya sasa, mambo yanafanywa yanachokwa, yanafanywa mengine yanachokwa pia, then linarudiwa kufanywa lilelile la mwanzo.

Hilo la kuweka damu ya period kweny chakula ili mungu akupende limefanywa kwa miaka mingi sana na bado wanawake wanafanya.
Labda wageni na mambwataa, [emoji23][emoji23][emoji23]e
Yaan damu ya hedhi ndo iwe tiba, usawa huu? Woiiiiih
 
Kiukweli kitaani hali ni mbaya, yaani mbaya saana na usiombe yakukutee.
Unakuta watu wameoana,wanapendana lakini ghaflaa mabalaa yanaanza,ugomvi usioisha,kufilisika,kupoteza kazi mpaka unaanza kujuta kuoa/kuolewa.
Vijana wamejawa wivu na tamaa yuko tayari akateketeze pesa zake ilimradi tuu akuvurugie maisha.
"SIKU HIZI WACHAWI WENGI SIO WAZEE"
 
Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa na nani boma gani lichukue shida hapa mjini.

Naishi na wanawake wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.

Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.

Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae. Anachukua nyayo, sura, hata makalio anaenda kupatia mabwana na kazi, hadi sauti yako, yaani hii ni shughuli.

Mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.

Na tabia nyingi wanazifanya kama wapo huku, acheni, kaeni na riziki zenu jamani. Mnaboa eti.

Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Magonjwa ya akili ni tatizo Kwa taifa letu 😐
 
Cc Chizi Maarifa
 
Wengi tu mbona
Ila SI mnataka pisi
Endeleeni
Na ibada hamtaki.walokole mnawananga, [emoji1787]
Achana na wanaojifanya walokole wapo na utawajua tu
Yan mtu aache kuopoa pisi kisa ayo maujinga ambayo hayapo? Mbona mimi silogwi na sijawahi kulogwa na kima yoyote?
 
Back
Top Bottom