Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Magume gume tu
 
Mi nasimama katika reality na reason we unasimama na story za wababu
What is elimu ya kidunia, hizo dini zimeanzishwa na watu wa duniani, makanisa na misikiti na hekalu zipo duniani, wachungaji wapo duniani, so unavyosema elimu ya kidunia sielewi hio dini inakuwaje sio ya kidunia wakati imeanza duniani umeikuta duniani na ukifa utaiacha duniani.
 
Huwezi kuzungumzia reality kama hujui nature yako, utakuwa unajidanganya na kujipa moyo.
 
Okay na hiyo ndio imani yako kutoka na maelezo yako. Ila haibadilishi chochote ktk ulimwengu wa kiroho.
Mi Sina Imani...we ndo una Imani...mi naongea ukweli...kwani ni uwongo...si story za wayahudi mababu umeletewa na mzungu akutawale na kauacha Hadi Leo hicho kitabu kinakutawala na mwenzako anaendelea kifikra na kiuchumi.
 
Huwezi kuzungumzia reality kama hujui nature yako, utakuwa unajidanganya na kujipa moyo.
Mi siwezi ambiwa nature yangu na kitabu Cha mababu wa wayahudi kinachoeleza kuwa wanawake hawatakiwi kuongoza, wazinifu wapigwe mawe mpaka kifo na watumwa wawatumikie mabwana zao na hicho kitabu kinipangie jinsi ya kufanya mapenzi na kuishi na mwanamke. We kama unaona ni reality sawa. Ila ndo usilazimishe kuwa kweli kwa kila mtu wakati ni we na wafuasi wenzako ndo mnaamini
 
Mi Sina Imani...we ndo una Imani...mi naongea ukweli...kwani ni uwongo...si story za wayahudi mababu umeletewa na mzungu akutawale na kauacha Hadi Leo hicho kitabu kinakutawala na mwenzako anaendelea kifikra na kiuchumi.
So hata kile ulicho kiandika mwenyewe hukisimamii.

"Hali halisi ya maisha ya binadamu na kijamii na inabadilika kutokana na mda, dini imeanzishwa na watu fulani sehemu fulani na kujitamkia kuwa ndo neno la Mungu la dunia nzima na sheria zake ni hizi hazibadiliki...siwezi ishi 2023 kwa maadili ya 200 BCE kipindi ambacho kubakwa ni normal, kutolewa mtoto ni normal, utumwa ni normal, mabibi kuchomwa ni normal, watu kupigwa mawe ni normal, magonjwa kuchukuliwa Kama mapepo ni normal, nipo Karne ya 21 so Nina uelewa kuliko watu hao ndo maana Nina maisha Bora kuliko hata mfalme wa kipindi hicho..."

Au mpaka hiki ulicho kiandika hukiamini,kwani nilirefer hiko ulicho kiandika, kama uliandikiwa basi sawa.
 
Kuna sehemu nimekulamisha,hivi huoni nimetumia neno "utashi wako...." mara ngapi......,sija mlazimisha mtu.
 
Wapi nimesema Nina imani
 
Kuna sehemu nimekulamisha,hivi huoni nimetumia neno "utashi wako...." mara ngapi......,sija mlazimisha mtu.
So utashi wako umekuambia usitombe mpaka uoe bikra au ni kitabu Cha wayahudi kilichokutishia usipofanya hivyo unaungua
 
Wewe mbona unatoa siri zetu [emoji12]
 
So utashi wako umekuambia usitombe mpaka uoe bikra au ni kitabu Cha wayahudi kilichokutishia usipofanya hivyo unaungua
Yaah ipo hivyo, japo still ni binadam nina mapungufu yangu, ila still siwezi kuedit sheria za kiroho ziende sawa na matakwa yangu au tamaa zangu.
 
Yaah ipo hivyo, japo still ni binadam nina mapungufu yangu, ila still siwezi kuedit sheria za kiroho ziende sawa na matakwa yangu au tamaa zangu.
Again sheria za kiroho Accord to utashi wako au kitabu Cha wayahudi wa kale ambao walikuwa hawajui dunia linazunguka jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…