Naona umeanza kuchemka. Ungeshughulisha kidogo ubongo wako kabla ya kuja kuwatuhumu watz ingekuwa bora zaidi.Mkuu hebu kwanza toa negativity uliyonayo kichwani halafu ubongo wako uuruhusu kujifunza "otherwise" utaendelea kutokunielewa.
Sawa mkuu. Umeshinda.Naona umeanza kuchemka. Ungeshughulisha kidogo ubongo wako kabla ya kuja kuwatuhumu watz ingekuwa bora zaidi.
Inabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
Wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watolee muongozo ila binafsi hiyo statement haina shida.sawa nimekuelewa
Vipi hapo👆👆ni sawa kusema ivo au si sawa?
Kwa hiyo!? 🤔🤔🤔Siyo kweli. Salim Ahmed Salim alikuwa na umahiri na ufahamu wa ufasaha katika lugha zaidi ya 5 za kimataifa lkn hajawahi sikika akichanganya Lugha anapozungumza.
Mtu akiwambia Unless Otherwise ni kuondoa utata yaani unafanya / usifanye hiki ; ikiwa tu kile kimefanyika.... ; Unless peke yake haiweki huo msisitizo...Mkuu kusema ukweli hata sijakulewa kabisa. Anyaway kuhusu statements zako hizo mbili: ya kwanza ipo sahihi ila ya pili haiko sahihi, (I stand to be corrected). Ya tatu ndio pana tatizo zaidi.
Haya maneno japo ni synonyms ila kuna sehemu hayawezi kutumika interchangeably mfano mzuri ni hiyo statement yako ya pili.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watolee muongozo ila binafsi hiyo statement haina shida.
Sawa boss basi kila mtu aendelee kuamini kile anachokiamini kipo sahihi.Mtu akiwambia Unless Otherwise ni kuondoa utata yaani unafanya / usanye hiki ; ikiwa tu kile kimefanyika.... ; Unless peke yake haiweki huo msisitizo...
Yaani You may not kill the dog Unless Otherwise it bites you..., inaweka instruction clear kwamba you should never kill a dog labda kama tu akikuuma; unless pekee inaweza kuwa akikuuma au hata akibweka pia unaweza kumuua.... Semantically it makes the instruction loud and clear.
Wewe ni kilaza usiye na aibu.Wewe bhana. Unataka niseme 'a national crisis" kajifunze lugha kwa wenye lugha yao. Acha kukariri wewe mzee.
The word "stated" justifies the use of "unless otherwise".Kwa hiyo hata wewe mkuu unaona matumizi ya haya maneno ni sahihi kutamkwa kwa kufuatana? Ushawahi kuwasikia wabongo wanavyoyapachika kwenye statements zao? Ni sawa na kusema "JAPOKUWA INGAWA Mariam alikuwa ana umri mdogo lakini aliajiriwa"
Have Had pia zinaweza tumika pamoja..... You can post anything on this thread Unless Otherwise stated.Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Kuna jamaa anapenda sana kutumia neno "way forward" mara kwa mara sijui huwa anamaanisha nini.Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Vipi kuhusu HAD HAD kutumika pamoja?Inabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
Sio kweli kwa tafsiri hiyo, ume generalise..Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Sasa njoo uwasikilize wabongo utachoka mwenyewe. Kila sehemu yenye kuhitaji kutumia "unless" pekee lazima wasema "unless otherwise".The word "stated" justifies the use of "unless otherwise".
Do you know your parts of speech?
Mtu akisema "I will stay here, unless otherwise directed" that makes perfect sense. That means "I will stay here, but if I am directed otherwise, I will not stay here."
So, kuna sehemu kusema "unless otherwise..." kuna make sense.
Soma hapa.
Sawa mkuu. Acha tuendelee kutumia broken ya taifa.Faza wala usiumize kichwa, Lugha yenyewe ilikuja kwa Majahazi. Tujivunie Kisukuma chetu, Kimatumbi, Kindengereko, Kigogo nk