Weka mfano hapa tuuchambue.Sasa njoo uwasikilize wabongo utachoka mwenyewe. Kila sehemu yenye kuhitaji kutumia "unless" pekee lazima wasema "unless otherwise".
Tena ni bora Mtumbatu mimi nikiongea hiko kibroken. Ushawasikia wa Azberdjan, Wakorea, Warusi kiinglish chao!? Na hawana time, ishu ni lengo kuu lifikiweSawa mkuu. Acha tuendelee kutumia broken ya taifa.
Unless means "if not". Otherwise means "in another way, differently". So unless otherwise posted will mean "if nothing else is posted", "if nothing else is indicated", "if there are no other signs". Unless otherwise means 'unless something different is indicated'.Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
For instance “give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”Weka mfano hapa tuuchambue.
Tushaona kuna sehemu "unless otherwise" inatumika kwa usahihi.
Tena wamarekani ndo wanaviolate sana kanuni za kingereza mfn wanasema " no body handed me nothing " hii mpaka kichwa changu mbongo kinakataa
Waanzishie thread ya darasa la maneno wanayokosea, kwa sababu ni wengi sana wanaosema "daraja la Selander bridge" na "barabara ya Kilwa Road".For instance “give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”
“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”
“Unless you bring my laptop I will not give you back your book”
“Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
Sasa kwa hiyo mifano niliyokutolea unadhani ni sahihi kutumia hayo maneno kwa pamoja?Waanzishie thread ya darasa la maneno wanayokosea, kwa sababu ni wengi sana wanaosema "daraja la Selander bridge" na "barabara ya Kilwa Road".
Pia wengi hawajui maana halisi ya "of course" wanaichomekea tu.
Wapi nimesema hilo na kitu gani kinakupa wazo kwamba naweza kufikiri hivyo?Sasa kwa hiyo mifano niliyokutolea unadhani ni sahihi kutumia hayo maneno kwa pamoja?
Hapana sijamaanisha hivyo mkuu. Nilikuwa nakuuliza tu je ni sahihi kwa wabongo kuyatumia hayo maneno katika cotext hiyo?Wapi nimesema hilo na kitu gani kinakupa wazo kwamba naweza kufikiri hivyo?
Umetoa mifano ya matumizi mabaya ya hayo maneno.
Nimekwambia fungua thread ya kusahihisha matumizi mabaya, kwani yapo mengi. Na mimi nikakuongezea mifano mingine ya matumizi mabaya kuwekea msisitizo hoja yako.
Kipi kilichokufanya kufikiri naweza kudhani mifano uliyotoa ni ya matumizi sahihi?
Ndiyo our own kind of English hata cha marekani na uingereza havifanani kivile. Hata Nigeria jamaica barbados bahamas wana viingereza vyaoHivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Nishakujibu. Wabongo wengi siku hizi hawajui hata Kiswahili.Hapana sijamaanisha hivyo mkuu. Nilikuwa nakuuliza tu je ni sahihi kwa wabongo kuyatumia hayo maneno katika cotext hiyo?
Na ndiyo point ya lugha. Kuwa tuelewane. Ukishanielewa sababu kuu ya kutumika hiyo lugha inakuwa imetimia.Nishakujibu. Wabongo wengi siku hizi hawajui hata Kiswahili.
Kwa mfano.
Wengi utawasikia "wanakuja" wanasema "wanakujaga".
Sasa, wakiboronga Kiingwrwza lugha ya mkoloni siwezi kushangaa.
Kuna tatizo lililozidi lugha.
Kuna tatizo la kutojali kuwa sahihi.
Ukiwakosoa utawasikia "si umenielewa lakini?"
Sasa
Tatizo kubwa hapa ni kutokujali na hawataki hata kujua. Hivi ulishawahi kuwasikia wanavyotamka maneno kama "assume au schedule?" Utatamani kujificha kama upo karibu. Assume wanaitamka "ashumu". Schedule wanaitamka "shejo" wengine "shedo" yaani ni aibu, cha ajabu mtu anatamka kwa kujiamini kweli halafu ni wengi kweli yaani. Mpaka huwa najiuliza hivi vyuo vikuu vya Tanzania havina hata malecturers waliosomea nje wanaojua kutamka kwa ufasaha maneno ya kiingereza? Maana hawa wanaotamka hivi ni graduates wa vyuo vikuu.Nishakujibu. Wabongo wengi siku hizi hawajui hata Kiswahili.
Kwa mfano.
Wengi utawasikia "wanakuja" wanasema "wanakujaga".
Sasa, wakiboronga Kiingwrwza lugha ya mkoloni siwezi kushangaa.
Kuna tatizo lililozidi lugha.
Kuna tatizo la kutojali kuwa sahihi.
Ukiwakosoa utawasikia "si umenielewa lakini?"
Sasa
Nafikiri ni maneno yanayoweza kutumika hivyo kwa kufuatana kwenye kiingereza.....zaidi lugha ya kisheria/mikataba.Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Jamaa kanishangaza sana afu anaanza kugeuka kutufanya sie wajinga..Maelezo yako kuhusu matumizi ya hiyo phrase had no reservations. Ulisema kwa ujumla wake kuwa ni makosa kutumia maneno unless otherwise kwa pamoja. Swala la muktadha wa matumizi hukuuweka, kwa kweli nilishangaa sana. Yawezekana nikawa siijui sana hii lugha ya Malkia, lakini hiki Kiingereza cha unless otherwise ni just Kiingereza cha is and was
NB: You should have qualified your thread kwa kueleza kuwa watu wengi wanatumia phrase hiyo in a wrong context, na siyo kueleza kuwa hayo maneno hayawezi kutumika kwa pamoja
Naona mengine ni masuala la dialects tu. American v British. Labda shida yetu kubwa tunachanganya hizo mbili katika andiko/sentensi moja (understandably though!).Tatizo kubwa hapa ni kutokujali na hawataki hata kujua. Hivi ulishawahi kuwasikia wanavyotamka maneno kama "assume au schedule?" Utatamani kujificha kama upo karibu. Assume wanaitamka "ashumu". Schedule wanaitamka "shejo" wengine "shedo" yaani ni aibu, cha ajabu mtu anatamka kwa kujiamini kweli halafu ni wengi kweli yaani. Mpaka huwa najiuliza hivi vyuo vikuu vya Tanzania havina hata malecturers waliosomea nje wanaojua kutamka kwa ufasaha maneno ya kiingereza? Maana hawa wanaotamka hivi ni graduates wa vyuo vikuu.