Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Unless means "if not". Otherwise means "in another way, differently". So unless otherwise posted will mean "if nothing else is posted", "if nothing else is indicated", "if there are no other signs". Unless otherwise means 'unless something different is indicated'.
 
Weka mfano hapa tuuchambue.

Tushaona kuna sehemu "unless otherwise" inatumika kwa usahihi.
For instance “give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”

“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”

Unless you bring my laptop I will not give you back your book”

Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
 
Tena wamarekani ndo wanaviolate sana kanuni za kingereza mfn wanasema " no body handed me nothing " hii mpaka kichwa changu mbongo kinakataa

I don't need you no more! [emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa waharibifu!
 
For instance “give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”

“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”

Unless you bring my laptop I will not give you back your book”

Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
Waanzishie thread ya darasa la maneno wanayokosea, kwa sababu ni wengi sana wanaosema "daraja la Selander bridge" na "barabara ya Kilwa Road".

Pia wengi hawajui maana halisi ya "of course" wanaichomekea tu.
 
Sasa kwa hiyo mifano niliyokutolea unadhani ni sahihi kutumia hayo maneno kwa pamoja?
 
Wapi nimesema hilo na kitu gani kinakupa wazo kwamba naweza kufikiri hivyo?

Umetoa mifano ya matumizi mabaya ya hayo maneno.

Nimekwambia fungua thread ya kusahihisha matumizi mabaya, kwani yapo mengi. Na mimi nikakuongezea mifano mingine ya matumizi mabaya kuwekea msisitizo hoja yako.

Kipi kilichokufanya kufikiri naweza kudhani mifano uliyotoa ni ya matumizi sahihi?
 
Hapana sijamaanisha hivyo mkuu. Nilikuwa nakuuliza tu je ni sahihi kwa wabongo kuyatumia hayo maneno katika cotext hiyo?
 
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Ndiyo our own kind of English hata cha marekani na uingereza havifanani kivile. Hata Nigeria jamaica barbados bahamas wana viingereza vyao
 
Hapana sijamaanisha hivyo mkuu. Nilikuwa nakuuliza tu je ni sahihi kwa wabongo kuyatumia hayo maneno katika cotext hiyo?
Nishakujibu. Wabongo wengi siku hizi hawajui hata Kiswahili.

Kwa mfano.

Wengi utawasikia "wanakuja" wanasema "wanakujaga".

Sasa, wakiboronga Kiingereza lugha ya mkoloni siwezi kushangaa.

Kuna tatizo lililozidi lugha.

Kuna tatizo la kutojali kuwa sahihi.

Ukiwakosoa utawasikia "si umenielewa lakini?"
 
Lugha zipo ili tuelewane sijui kwann tunazitungia mtihani na kuzisahihisha na kuzichukulia kama kipimo cha inteligency iwapo tayari tumeshaelewana.
 
Nishakujibu. Wabongo wengi siku hizi hawajui hata Kiswahili.

Kwa mfano.

Wengi utawasikia "wanakuja" wanasema "wanakujaga".

Sasa, wakiboronga Kiingwrwza lugha ya mkoloni siwezi kushangaa.

Kuna tatizo lililozidi lugha.

Kuna tatizo la kutojali kuwa sahihi.

Ukiwakosoa utawasikia "si umenielewa lakini?"

Sasa
Na ndiyo point ya lugha. Kuwa tuelewane. Ukishanielewa sababu kuu ya kutumika hiyo lugha inakuwa imetimia.
 
Kwani tuna uhakika kuwa tafsiri ya asili kabisa ya neno otherwise ni hii tunayoitumia sasa? Huenda watumiaji wa awali hawakumaanisha tunachomaanisha sisi lakini point ya msingi ni sisi tunavyolitumia tunaelewana. Tusicomplicate maisha.
 
Nishakujibu. Wabongo wengi siku hizi hawajui hata Kiswahili.

Kwa mfano.

Wengi utawasikia "wanakuja" wanasema "wanakujaga".

Sasa, wakiboronga Kiingwrwza lugha ya mkoloni siwezi kushangaa.

Kuna tatizo lililozidi lugha.

Kuna tatizo la kutojali kuwa sahihi.

Ukiwakosoa utawasikia "si umenielewa lakini?"

Sasa
Tatizo kubwa hapa ni kutokujali na hawataki hata kujua. Hivi ulishawahi kuwasikia wanavyotamka maneno kama "assume au schedule?" Utatamani kujificha kama upo karibu. Assume wanaitamka "ashumu". Schedule wanaitamka "shejo" wengine "shedo" yaani ni aibu, cha ajabu mtu anatamka kwa kujiamini kweli halafu ni wengi kweli yaani. Mpaka huwa najiuliza hivi vyuo vikuu vya Tanzania havina hata malecturers waliosomea nje wanaojua kutamka kwa ufasaha maneno ya kiingereza? Maana hawa wanaotamka hivi ni graduates wa vyuo vikuu.
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Nafikiri ni maneno yanayoweza kutumika hivyo kwa kufuatana kwenye kiingereza.....zaidi lugha ya kisheria/mikataba.

"By law, currency issued by the government, in any form and denomination is the acceptable medium for commercial transaction unless otherwise stated."

Na kwa uzoefu wangu, hiyo phrase huwa inatumika hivyo ikiwa na tafsiri ya kiswahili " ...isopokuwa vinginevyo".
 
Maelezo yako kuhusu matumizi ya hiyo phrase had no reservations. Ulisema kwa ujumla wake kuwa ni makosa kutumia maneno unless otherwise kwa pamoja. Swala la muktadha wa matumizi hukuuweka, kwa kweli nilishangaa sana. Yawezekana nikawa siijui sana hii lugha ya Malkia, lakini hiki Kiingereza cha unless otherwise ni just Kiingereza cha is and was

NB: You should have qualified your thread kwa kueleza kuwa watu wengi wanatumia phrase hiyo in a wrong context, na siyo kueleza kuwa hayo maneno hayawezi kutumika kwa pamoja
Jamaa kanishangaza sana afu anaanza kugeuka kutufanya sie wajinga..

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kubwa hapa ni kutokujali na hawataki hata kujua. Hivi ulishawahi kuwasikia wanavyotamka maneno kama "assume au schedule?" Utatamani kujificha kama upo karibu. Assume wanaitamka "ashumu". Schedule wanaitamka "shejo" wengine "shedo" yaani ni aibu, cha ajabu mtu anatamka kwa kujiamini kweli halafu ni wengi kweli yaani. Mpaka huwa najiuliza hivi vyuo vikuu vya Tanzania havina hata malecturers waliosomea nje wanaojua kutamka kwa ufasaha maneno ya kiingereza? Maana hawa wanaotamka hivi ni graduates wa vyuo vikuu.
Naona mengine ni masuala la dialects tu. American v British. Labda shida yetu kubwa tunachanganya hizo mbili katika andiko/sentensi moja (understandably though!).
 
Back
Top Bottom