Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani.
Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida.
Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za vijiweni.
Mimi mwenzenu nikizama kwenye maji sekunde tano tu natoka naomba uji wa moto😁.
Wenye maujuzi wa haya mambo hebu mje mtupe uzoefu ili siku na sisi tujaribu.
Kuna wavuvi nasikia wanazama hata saa nzima ndani ya maji anatega nyavu zake halafu anatoka juu ya maji yuko shwari utafikiri alikuwa ndani ya maji alikuwa anavuta sigara😁.
Sijui kuna vimazingaziombwe kidogo hawa wavuvi wanatumia?'
Karibuni.