Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

Na wengi wenye mazoea ya kukaa chini ya maji wakiwa kavukavu (bila vifaa maalum)ukiwachunguza huwa uwezo wao wa kusikia sauti huwa ni hafifu sana
 
Kuna kipindi nilikuwa ninaweza kukaa dakika 4 na sekunde zake bila tatizo ila kwa sasa nadhani siwezi kuvusha hata dk 3.
 
Wanaathirika labda na maji.
Na wengi wenye mazoea ya kukaa chini ya maji wakiwa kavukavu (bila vifaa maalum)ukiwachunguza huwa uwezo wao wa kusikia sauti huwa ni hafifu sana
 
Hili suala la saa zima nabisha nimekaa pale weka simu Yako niweke simu yangu tukae pembeni tumshuhudie mtu anaezamia saa Moja sio saaa Moja hata dakika 15 tu nabisha [emoji23]
Basi inawezekana haya mambo yanakuwaga ni story tu za kwenye kahawa mtu kukaa ndani ya maji dakika 5 au kumi bila mashine ni shuguli pevu.
 
Back
Top Bottom