Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

Mimi huwa najaribu kukaa bila kuhema au kuvuta punzi nione tachukua dakika ngapi huwa najitahidi nafika sekunde 25.
 
Mimi huwa najaribu kukaa bila kuhema au kuvuta punzi nione tachukua dakika ngapi huwa najitahidi nafika sekunde 25.
Ukiwa chini ya maji hutakiwi kuvuta hewa(inhale) bali unatakiwa kutoa hewa(exhale)

Hewa unayoitoa ni ile hewa ambayo unaivuta kwa wingi then unaitunza kwenye mapafu halafu unaanza ku exhale kidogo kidogo ukiwa chini ya maji

Usithubutu kuvuta hewa(inhale)ukiwa chini ya maji you will choke to death
 
Duuh basi aingizwe kwenye 7 wonders of the world, maana sio jambo la kawaida hilo.
Apumzike kwa amani[emoji120]
Na wewe umeamini hiyo chai [emoji1][emoji1]
 
Hili suala la saa zima nabisha nimekaa pale weka simu Yako niweke simu yangu tukae pembeni tumshuhudie mtu anaezamia saa Moja sio saaa Moja hata dakika 15 tu nabisha [emoji23]
 
Kuna watu wanatumiaga dawa,kuna jamaa alikuwa anazama wanaweka sufuria la ugali mpaka wanasonga ndo anaibuka

Wale wavuvi unaowasemea ni mazoea tu,wanaweza kukaa chini ya maji kwa dakika 3 na anafukuzana na sato chini ya maji mpaka anamkamata,niliwah kujaribu lakin hata sikufanikiwa kufika chini kwenye hzo nyavu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…