Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,229 Reaction score 50,144 Apr 23, 2023 #41 Cetshwayo Kampande said: Hahaha sawa ,usichelewe mpira dk 90 Click to expand... Sichelewi, nipo kwenye boda hapa nakuja
Cetshwayo Kampande said: Hahaha sawa ,usichelewe mpira dk 90 Click to expand... Sichelewi, nipo kwenye boda hapa nakuja
mtongwe JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 1,652 Reaction score 4,468 Apr 23, 2023 #42 Na wengi wenye mazoea ya kukaa chini ya maji wakiwa kavukavu (bila vifaa maalum)ukiwachunguza huwa uwezo wao wa kusikia sauti huwa ni hafifu sana
Na wengi wenye mazoea ya kukaa chini ya maji wakiwa kavukavu (bila vifaa maalum)ukiwachunguza huwa uwezo wao wa kusikia sauti huwa ni hafifu sana
BinSalum7 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 1,733 Reaction score 3,847 Apr 23, 2023 #43 Kuna kipindi nilikuwa ninaweza kukaa dakika 4 na sekunde zake bila tatizo ila kwa sasa nadhani siwezi kuvusha hata dk 3.
Kuna kipindi nilikuwa ninaweza kukaa dakika 4 na sekunde zake bila tatizo ila kwa sasa nadhani siwezi kuvusha hata dk 3.
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 Apr 23, 2023 Thread starter #44 spidernyoka said: Mimi naweza kuzamia hata masaa Ila mali iwe safii Na kuzamia ni Chumvini tu Click to expand... 🙄
spidernyoka said: Mimi naweza kuzamia hata masaa Ila mali iwe safii Na kuzamia ni Chumvini tu Click to expand... 🙄
Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 1,760 Reaction score 3,733 Apr 23, 2023 #45 HIMARS said: Mi maji huwa siyaletei mbwembwe, hata kuogelea sitaki. Click to expand... Hayafai kulikooo
HIMARS said: Mi maji huwa siyaletei mbwembwe, hata kuogelea sitaki. Click to expand... Hayafai kulikooo
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 Apr 23, 2023 Thread starter #46 Wanaathirika labda na maji. mtongwe said: Na wengi wenye mazoea ya kukaa chini ya maji wakiwa kavukavu (bila vifaa maalum)ukiwachunguza huwa uwezo wao wa kusikia sauti huwa ni hafifu sana Click to expand...
Wanaathirika labda na maji. mtongwe said: Na wengi wenye mazoea ya kukaa chini ya maji wakiwa kavukavu (bila vifaa maalum)ukiwachunguza huwa uwezo wao wa kusikia sauti huwa ni hafifu sana Click to expand...
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 Apr 23, 2023 Thread starter #47 Urban Edmund said: Hili suala la saa zima nabisha nimekaa pale weka simu Yako niweke simu yangu tukae pembeni tumshuhudie mtu anaezamia saa Moja sio saaa Moja hata dakika 15 tu nabisha [emoji23] Click to expand... Basi inawezekana haya mambo yanakuwaga ni story tu za kwenye kahawa mtu kukaa ndani ya maji dakika 5 au kumi bila mashine ni shuguli pevu.
Urban Edmund said: Hili suala la saa zima nabisha nimekaa pale weka simu Yako niweke simu yangu tukae pembeni tumshuhudie mtu anaezamia saa Moja sio saaa Moja hata dakika 15 tu nabisha [emoji23] Click to expand... Basi inawezekana haya mambo yanakuwaga ni story tu za kwenye kahawa mtu kukaa ndani ya maji dakika 5 au kumi bila mashine ni shuguli pevu.