Hivi wazazi mnaoleaga hivi watoto huwa mnajielewa kweli?

Badae litoto linakuwa na tabia za hovyo unaanza kulaumu watu wengine kumtenga huyo mtoto! Mtoto hakatazwi haambiliki anakuwa mjeuri, siku ukienda naye kwa watu akikatazwa anaona anateswa! Akiingia kwenye mahusiano hasemwi! Kwasabbau kwao hakuwahi kunyooshewa hata kidole! Maandiko yenyewe yanasema usimnyime mtoto fimbo! Hata waongee nini mimi silei mtoto kipumbavu!
Ni sahihi kabisa mkuu kumnyoosha mtoto, kizazi cha buku bee kinaharibu sana watoto wao, mimi huyo mtoto wa miaka 3 nitampa karipio kali hadi mama yake tumbo litamkata na hata huyo mgeni angeingilia kati, mtoto angeona vita hii hapa mbele yangu.

Asiposikia kuna aina ya adhabu zake kulingana na umri wake. Siku nyingine hawezi kurudia upuuzi. Hiyo ndio range ya umri wa do and dont. Kuna mambo ya kumuacha kuwa huru na ya kumkataza kama hayo ya kumuharass mgeni
 
Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"

Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao.

Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa. 😂

Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine 🙄.
Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula😂.

Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii. Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.

Mimi ninachojua umri sahihi wa kumjenga mtoto mwenye adabu ni kuanzia mwaka 0-5 ukishindwa kutengeneza msingi wa tabia njema kwa mtoto wako katika kipindi hiki ni dhahiri mtoto atakusumbua wewe, jamii yako na taifa kwa ujumla.
Mkuu Huyu Mtoto anaumwa AUTISM anauitaji matibabu, washauri Wazazi kama hawajampeleka Hospitali bado wafanye hivyo mapema.
 
Kwa nini umeenda huko? Ni dalili zipi zimekuonesha ana autism dactari?
Hiyo tendency ya Restlessness na lack of attention, mara kashika kijiko, mara kakwapua sahani, mara Yuko Jikoni muda huo huo kashachomoa glass ya Maji, kapanda mezani,
Nakushauri kwa kuwa bado ni Mtoto mdogo wachukue hatua mapema.
Pia it means huyo Mtoto anashinda Nyumbani peke yake bila watoto wengine, ni Mtoto ambaye Mdada wa kazi anamwacha kutazama TV kwa muda mrefu.

Tafadhali Sana chukua hatua okoa Mtoto wa marafiki xako
 
Si nasikia wenye autism wanakuwa wameduwaa mda mwingi wanarudia rudia mambo mbona km ni against na tabia alizosema mtoa mada za utundu
 
Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"

Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao.

Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa. 😂

Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine 🙄.
Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula😂.

Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii. Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.

Mimi ninachojua umri sahihi wa kumjenga mtoto mwenye adabu ni kuanzia mwaka 0-5 ukishindwa kutengeneza msingi wa tabia njema kwa mtoto wako katika kipindi hiki ni dhahiri mtoto atakusumbua wewe, jamii yako na taifa kwa ujumla.
Utakuwa wa ajabu kama uliliona hilii ukashindwa kulisema sehemu husika, halafu ukaleta hiyo habari
 
Waache, hicho ni kiwanda kizur cha kina uncle T
We nawe ndo wale wale tu wenye kulelewa vibaya.
Uhalisia wa hili unaanza na akili yako iliyokutuma ukachagua ID kama hiyo hapa JF. Inaonesha dhahiri ulifeli malezi.
 
Ni mtazamo wa mtoa mada; simpingi lakini, sukubaliani nae kwa mtoto wa miaka mitatu. Alipokwapuliwa kijiko, alitaka Junior apigwe kitasa, sasa Junior angechukua soda yake ndo pangewaka. 😊

baada ya kuchukua kijiko. Wazazi wamereact vipi?.
Hii ya kumwambia beki 3 alete kingine bila kumkanya Jnr sio sahihi.

Watoto wana ishu karibia elfu 1 za kuwaelewesha. Na nying unawaelewesha /kuwasahihisha pale wanapofanya vitendo tofauti.
Kwenye act ya hiko kitendo. Kama ukiwa karibu.

Huruma sio malezi.

Ukimwambia mwanao usifanye hivi kwa sababu ya ABC. Na akifanya. Ukirud unamwita unamuuliza why kafanya. Na akikujibu unamsahihisha na unapiga vibao vitatu vinne vya mashavu kiroho safi. 😊😊😊😊
 
Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"

Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao.

Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa. 😂

Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine 🙄.
Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula😂.

Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii. Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.

Mimi ninachojua umri sahihi wa kumjenga mtoto mwenye adabu ni kuanzia mwaka 0-5 ukishindwa kutengeneza msingi wa tabia njema kwa mtoto wako katika kipindi hiki ni dhahiri mtoto atakusumbua wewe, jamii yako na taifa kwa ujumla.
Nimemshukuru sana Mungu kwa huyo mtoto kutokukuwekea kisu jichoni.
 
Wazaz wanahisi wakiwapiga watoto wao basi Mapenz ya mtoto towards kwa Mzazi yatapungua.

Kitu hii sio kweli.

Mtoto anatakiwa achapwe au kumpiga vibao. Ila usimpige bila sababu.
Mueleweshe why unamuadhibu na pia akirudia au kufanya kitu kingne kinachoendana na hiko utampiga pia.

Na muadhibu kwa upendo.
Usipige kama mwizi.

Nakumbuka Mama Yetu alikuwa anatutandika sana . Darasa la 5 onwards. Kisa shule, uchafu uchafu na kutokuweka vitu vyetu vizur. Ila usiku wake anapika wali maharage nazi mtamu balaa na jpili anatupikia pilau. 😊😊😊😊😊.

Ila mchana au jmos yake umechapwa na chelewa hadi unahisi huyu sio mama angu 😂😂😂😂.

Ila sijawah kupunguza mapenz na Mama angu. Ndio kwanza yanazidi.
 
Back
Top Bottom