Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,349
- 21,802
Hii roho mbaya umeitoa wapi SeranNdiomaana sitakagi kukaa na mtoto wa mtu nitaonekana namtesa! Juzi nmekaanga zangu samaki nikawaweka ndani, mtoto wa rafikiangu mdogo tu miaka mi5 wakike kaingia jikoni kakata samaki kabugia, nilimtandika fimbo mama yake kaja kamkuta ana alama ya fimbo kaishiwa raha kabisa! Yani nikishamwambia kama unamuacha mtoto hapa ukitoka kazini lazima ukute nimemnyoosha tu, siwezi kulea upumbavu mimi!