ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Yes Yeshahahaaa! memkwa skul
Yes Yeshahahaaa! memkwa skul
Ndio maisha tuliyochagua. Wewe kinakuuma nini?Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"
Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao.
Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa. 😂
Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine 🙄.
Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula😂.
Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii. Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.
Mimi ninachojua umri sahihi wa kumjenga mtoto mwenye adabu ni kuanzia mwaka 0-5 ukishindwa kutengeneza msingi wa tabia njema kwa mtoto wako katika kipindi hiki ni dhahiri mtoto atakusumbua wewe, jamii yako na taifa kwa ujumla.
Mtoto wa miaka mitatu ni Mdogo. Asiadhibiwe na fimbo.
Lugha tuu anaelewa.
Tatizo mtoto akikuangalia usoni unamchekea na huonyeshi kama kitu unachokataza hutaki afanye.
Mtoto wa miaka 3 ni Mdogo huwezi muadhibu kwa fimbo.
Toa tuu maelekezo na uyasimamie bila viboko
Walitaka wampe vitasa kwa kukwapua kijiko cha mgeni! 😁
Sahihi, watoto ni waelewa kuliko tunavyofikiria, na kupiga mara kwa mara pia unamfanya awe sugu na nunda. Kuna mijitu mtt wa miaka 2-3 kitu kidogo inawatandika migumi ya mgongo....sijui wanakuwa wamewapata bahati mbaya!
Ila wazazi vijana wanazingua sometimes, yawezekana mtt anapewa simu ili asisumbue mama nae aingie kwenye mitandao kuperuzi, akisha kuwa addicted sasa ndio anaanza kumuona msumbufu pindi akimkatilia kumpa simu
watoto wanajiamulia mambo tu, halafu wazazi tunajiongopea kwamba ndiyo malezi sahihi kumbe tunatengeneza bomu kwa familia na taifa kwa ujumla
Huyo mtoto bila shaka anaitwa juniaKatika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"
Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao.
Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa. 😂
Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine 🙄.
Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula😂.
Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii. Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.
Mimi ninachojua umri sahihi wa kumjenga mtoto mwenye adabu ni kuanzia mwaka 0-5 ukishindwa kutengeneza msingi wa tabia njema kwa mtoto wako katika kipindi hiki ni dhahiri mtoto atakusumbua wewe, jamii yako na taifa kwa ujumla.
Wengi wetu tumekuwa na tatizo la uzazi kutokana na mifumo yetu ya maisha ya kisasa, kuanzia kwenye kutafuta elimu, lishe duni, stress za maisha kutokana kazi tunazozifanya na uchache wa kipato n.k.Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"
Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao.
Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa. 😂
Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine 🙄.
Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula😂.
Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii. Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.
Mimi ninachojua umri sahihi wa kumjenga mtoto mwenye adabu ni kuanzia mwaka 0-5 ukishindwa kutengeneza msingi wa tabia njema kwa mtoto wako katika kipindi hiki ni dhahiri mtoto atakusumbua wewe, jamii yako na taifa kwa ujumla.
Uchoyo tu huoNdiomaana sitakagi kukaa na mtoto wa mtu nitaonekana namtesa! Juzi nmekaanga zangu samaki nikawaweka ndani, mtoto wa rafikiangu mdogo tu miaka mi5 wakike kaingia jikoni kakata samaki kabugia, nilimtandika fimbo mama yake kaja kamkuta ana alama ya fimbo kaishiwa raha kabisa! Yani nikishamwambia kama unamuacha mtoto hapa ukitoka kazini lazima ukute nimemnyoosha tu, siwezi kulea upumbavu mimi!
Sawa!Uchoyo tu huo
Kunyanyaswa kivipi? Kwani nimesema nilikuwa nachapwa kila siku au kila saa? Haifiki hata mara 5, nimekuwa na sijawa chochote! Sikuwa nachapwa ili nisinywe pombe, in fact nakata whiskey bila tabu! Hatuwezi kulelewa sawa! Wala haijaniathiri kivyovyote!Dah, ulinyanyaswa mkuu. Vipi leo hii unaweza kusema wewe ni mtu bora kiujumla? Haunywi pombe? Hauvuti mibangi? Una nidhamu ya fedha? Unahudhuria ibada kikamilifu? Ndoa unayo?
Ulikuwa unalazimishwa kutii amri tu, ukishurutishwa kama mbwa.
Wengine hatujachapwa, fimbo tumezijulia shule ila tunadunda tu hatujawa vilaza.
Nimeumia mkuu ulivyojivunia kujeruhiwa kwa kisingizio cha malezi. Pole mkuu, ungekuwa hapa karibu ningekununulia hata kabia.Kunyanyaswa kivipi? Kwani nimesema nilikuwa nachapwa kila siku au kila saa? Haifiki hata mara 5, nimekuwa na sijawa chochote! Sikuw anachapwa ili nisjnywe pombe, in fact nakata whiskey bila tabu! Hatuwezi kulelewa sawa! Wala haijaniathiri kivyovyote!
Mkuu torture unaijua haswaa.Mtoto anaemwaga chakula kusudi.
Mwambie wazi hata kama ni mdogo kumwaga chakula ni kosa kubwa sana.
Halafu mnyime chakula mpaka njaa Imkamate kisawa sawa, halafu mpe chakula asichokipenda akile.
Badae litoto linakuwa na tabia za hovyo unaanza kulaumu watu wengine kumtenga huyo mtoto! Mtoto hakatazwi haambiliki anakuwa mjeuri, siku ukienda naye kwa watu akikatazwa anaona anateswa! Akiingia kwenye mahusiano hasemwi! Kwasabbau kwao hakuwahi kunyooshewa hata kidole! Maandiko yenyewe yanasema usimnyime mtoto fimbo! Hata waongee nini mimi silei mtoto kipumbavu!watoto wanajiamulia mambo tu, halafu wazazi tunajiongopea kwamba ndiyo malezi sahihi kumbe tunatengeneza bomu kwa familia na taifa kwa ujumla
Ndio zao, sasa hivi wanatetea, akishindikana baadae wanasema shida ni mama yake!Bora umenyoosha maelezo hamchelewi kuwasingizia malezi single mother
Haha sawa Asante!Nimeumia mkuu ulivyojivunia kujeruhiwa kwa kisingizio cha malezi. Pole mkuu, ungekuwa hapa karibu ningekununulia hata kabia.