Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,023
Dunia itawafunza. Dunia huwa haichekeshi...Utasikia wanasema kuwa wanalea kizungu ilihali hao Wazungu wala hawalei kama hivyo.
Mimi mwwnyewe mzito sana kuchapa mtoto ila kukataza ndio kazi yangu na huwa sichoki mpaka kuna muda rafikiangu ananiambia we nyamaza tu ataacha, mtoto mara anune! Sisi sio wazungu bwana!😁Yes mtoto ni lazima akanywe sijakataa, ila hemu pitia comments za waja humu ujionee akili zao
Mtu anakazana ningepia hadi nifukuzwe 🤣🤣🤣 adhabu sio fimbo tu jamani.
Fimbo iwe ni adhabu ya mwisho kabisaaa hata mtoto mwenyewe aone kweli leo nimeyatimba!
Mtoto anaemwaga chakula kusudi.
Mwambie wazi hata kama ni mdogo kumwaga chakula ni kosa kubwa sana.
Halafu mnyime chakula mpaka njaa Imkamate kisawa sawa, halafu mpe chakula asichokipenda akile.
Sio kweli mtoto wa miaka mitatu ana akili vzr labda kama ana matatizo kama ya usonji au kuvia akili lkn tofauti na hapo mtoto yeyote mwenye miaka mitatu akili yake inafanya kazi vzr tuKwa mtoto wa umri huo ukisema kila kosa unapiga mbona utatoka sugu za mikono 🤣🤣🤣
Maana yeye ndani ya dk 5 kasahau anafanya tukio lingine!
Yes you’re right mimi niko against na hao wanaokazana na kupiga mtoto kama ng’ombeSio kwamba lazma umpige zaman ilikuwa ukifanya kosa baba akaseme lazma uchutame mama akikukata jicho lazma ujue kuwa hapa umelikoroga
Lkn wazazi wa kizazi Cha broiler mtoto anafanya makosa yanajirudia mfulurizo wao wapo wanachekelea tu
We unaona hyo n sawa?
Mwl wa kuku😂😂nilikuwa nina mzgo mkononi
imagine nikiwa mdogo nimechukua glass nikazipanga nazipiga mateke, mama alinikuta kilichotokea nikawa na adabu mpk leo, siku nyingne nachapa kuku ety me ni mwalimu na kuku ni mwanafunzi oyaah
ningeachwa ningekuja kulisha mifugo sumu kisa ni mtoto
Tena ukoo mzima unakusanykka kuuguza ka upele😅😅Ndio hapo, kweli hatuwezi kulea kama
Sisi tulivyolelewa lakini kuchekea ujinga ni big No! Mimi mwenyew nimechezea kichapo balaa, zilikuwa zinaungwa fimbo 5 za matunda passion, hazikatiki! Aiseee! Kuna siku nimevunjika mkono sikusema mama alikuja kuniona mwenyewe ndio kunipeleka bugando! Hawa wa sasa hivi kaupele tu mnapeka london hospital!
Lazima alikatazwa na kufokewa hapo, mtoto wa miaka mitatu apigwe kwa kitendo hicho! 😁Sio kipigo tu akatazwe kwanini wazazi mjichekeleshe mtoto anafanya ujinga!
Ndio iminywe aache ufalaMtoto wa miaka mitatu, kachukua kijiko cha mkali hapo juu, mnataka apigwe! 😁
Angechukua soda ya mgeni, ndio mngemtia kilema junior. 😁Ndio iminywe aache ufala
acha kabisa mkuu nilifundishwa ipasavyoMwl wa kuku😂😂
Tungehakikisha amenyookaAngechukua soda ya mgeni, ndio mngemtia kilema junior. 😁
Anakupima imani kama nakuona🤣Juzi kajipupulia shule🙌🏾
Hizo simu baba🙌🏾 Kila siku ni anaendeleaje mtoto, anaendeleje, kina rangi gani? Hakijavimba? Umemshika hana homa? Leleleleleleleel🫢Tena ukoo mzima unakusanykka kuuguza ka upele😅😅
Kama hasikii apigwe tu😁Lazima alikatazwa na kufokewa hapo, mtoto wa miaka mitatu apigwe kwa kitendo hicho! 😁
Juzi kajipupulia shule🙌
Kupiga kama ngoma, mtoto wa miaka mitatu! Mtakuwa mnampiga mara ngapi kwa siku? 😊Kama hasikii apigwe tu😁
Huyu miaka mi4 anapishana naye nini wa miaka mi3?Seran, huyo wa shule ni mkubwa kabisa, mtoa mada kasema ni wa miaka mitatu, aliekwapua kijiko. 😊
Mara tatu🤣Kupiga kama ngoma, mtoto wa miaka mitatu! Mtakuwa mnampiga mara ngapi kwa siku? 😊
Sawa. 😁Mara tatu🤣
"Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii"mtoto kosa analifanya day 1 una mchekea anaona aah kumbe ni kawaida
!
Na ujue watoto wana akili anafanya kitu then anakuangalia uta react vipi
Tabia ya mtoto wa umri mdogo ni malezi mabaya maana huyu huwezi kusema kafundishwa tabia mbaya na makundi