Hivi waziri wa maji yupo kweli? Hii changamoto ya maji kwa wananchi haisikii? Wananchi wanteseka tena ndani ya jij anania gani. Watendaji wapo kweli?

Hivi waziri wa maji yupo kweli? Hii changamoto ya maji kwa wananchi haisikii? Wananchi wanteseka tena ndani ya jij anania gani. Watendaji wapo kweli?

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi


Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia.

Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa afya njema na Bora,na Wale wanaopitia Shangamoto mbali mbali za afya poleni Sana-;


Ndugu Zangu Sisi Tuliowateja wa Dawasa' Tuliohumu Ukurasani Naomba Tushauriane Jambo la Muhimu ili Tujue Hawa Mafundi waliopewa Jukumu la kutupatia Mgao wa kufungua Mabomba ili tupate maji, je wapo salama ktk afya Bora ya akili?

Kwa kuwa kilio chetu wanatusikia bali wameamua kukaa kimya Je wanautu?

je wanaubinadamu?

Tutakapojua Nini Tatizo lao, Tutaenda Kwa afisa biashara Ambae ni kijana jeuri na anamajibu yasio Rafiki Kwa wateja unapomu uliza swali anatoa majibu mepesi Kwa dhalau huyu Tuangalie vizuri taaluma yake na ni muajiliwa au kibarua ndio maana hajali wateja Kwa kuwa Hana mkataba, Yawezekana huyu Meneja wao wa kituo humu kwenye grupu hayupo Au lah!! kama yupo je hasikii kero tunayoipata?? Je anampango gani mkakati kuhusu Sisi wateja Tusio na Hatia kunyanyasika hivi?Je kutokana na kero hizi ameshatamani kuongea na wateja wa eneo husika kuja eneo husika kusikia ama kufuatilia malalamiko yetu?au Nae amepewa tu post siku Iile na Mh waziri Mwenye dhamana bila kujua Taaluma yake ktk usaidizi wake bila kujua nafasi aliyopewa ni kusimamia Watendaji watumishi walioajiliwa na vibarua jinsi ya utendaji wao kusimamia Kwa Nidhamu,utu na Ubinadamu'Yeye akishindwa nae kabla hatujamuona mkurugenzi Mkuu,Twaweza kwenda Kwa Mh waziri Moja Kwa Moja suntwaweza mpigia Simu aje kimyakimya eneo husika hili ajionee Nini tunamaanisha, wateja Wenzangu.

Maofisini Kuna lugha tofauti kiutendaji kutokana na haiba au tabia ya Mtumishi jinsi anavyokuchukulia na kukuona wewe mteja Kwa ukawaida wako'Hakuna kitu kigumu na kibaya kama kumfitinia Mwanadamu' upatikanaji wa Riziki yake,Kwa Sasa hamna Namna.

Niwaombe Sisi wenye uhitaji wa Maji Tukutane Tujipange Tufanye maadhimio stahiki kwenda kituoni kwao',au ofisini Kwa Mh waziri Mwenye dhamana Moja Kwa Moja ktk Ofisi ndogo hapa Dsm,

Tutafatilia Ratiba yake,hili litakua suruhisho kama ameweza kwenda same/Tanga ktk ziara ya Mh Rais Tunashindwaje kumleta kinyerezi?

Naomba tuwe na Nia ,Tuwe na Ushirikiano Ili watupatie majibu yenye Msingi.

Tutaarika waandishi wa magazeti na televion hili Mh Rais nae alijue hili jambo kuwa wapiga kura wake wa eneo dogo la kinyerezi kanga/Saranga wananyanyasika kutokana na Usimamizi Mbovu wa wasaidizi wake.

'Tufanye Tukutanike Ndg Zangu Tupange Siku Maalumu,Mimi kipindi hichi nipo likizo hata Dodoma nipo tayari kwenda kuonana na uongozi wa juu.

Tutapiga picha eneo tunalokosa maji Kwa kuitumia dron camera tutaweka ktk Frash tutaenda nazo tuitishe kikao ndg Zangu Ili tupange mikakati ,Hali hii inauma itaathiri afya zetu na familia,nguo zimeshaanza kuchakaa Kwa kukosa maji Bora na mazuri ya kufulia
 
Viongozi wako wakipata nafasi ya kuzungumza ni mwendo wa Mama anatosha apewe mitano tena.

Halafu sio FRASH ni FLASH. Unatumia Keyboard ya Kikurya?
 
Back
Top Bottom