Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Njoo utwambie now maono ya haya yapoje kwa sasa n.k.
Yaani kama umejoini ya kisasa

Nilitaka kudunga dislike ya pili kumbe ya mwanzo #1 bado ipo 😊
 
Mkuu Achana nao
Dunia siku hizi iko online
Acha tupige hela uku
Kuna watu wanajifanya wanajua duniaaaaa
Status Kwanza zinalipiwa
Yaani kuna watu huku ni viazi yaani achana nao
 
Mkuu Achana nao
Dunia siku hizi iko online
Acha tupige hela uku
Kuna watu wanajifanya wanajua duniaaaaa
Status Kwanza zinalipiwa
Yaani kuna watu huku ni viazi yaani achana nao
Hao itakuwa wana wivu tu.

Mtu hanihusu, kwanza status yake naangalia kwa nini?

Hao ni watu wenye wivu na wanaotaka ku control wengine tu.
 
Tusipangiane matumizi ya bando joh
 
Hao itakuwa wana wivu tu.

Mtu hanihusu, kwanza status yake naangalia kwa nini?

Hao ni watu wenye wivu na wanaotaka ku control wengine tu.
Siku hizi kuna kampuni zinaajiri watu wa kutafuta namba za watu randomly yaani .wanajua wakipost bidhaa zao katika watu elfu mbili mfano wakipost any affordable home item hawatakosa wateja.
Halafu kila MTU ana maisha yake duniani hapa.
 
Hawa watu wamezoea maisha ya kuwa control wengine, sasa by nature mambo ya mitandaoni kum control mtu ni vigumu sana.

Hawajazoea kukosa control hivyo.

Wanalialia teknolojia inawapeleka katika dunia ambayo hawawezi kui control.

Hiki ndicho kinachotokea hapa.

Vinginevyo status yako inanihusu nini mimi kama sipendi unachopost?

Hata kuiona naanzia wapi?

Mimi mbona sizioni hizo status?

Hawa wati wanajua kutumia Whatsapp kweli?

Xi Jinping
 
Siku hizi kuna kampuni zinaajiri watu wa kutafuta namba za watu randomly yaani .wanajua wakipost bidhaa zao katika watu elfu mbili mfano wakipost any affordable home item hawatakosa wateja.
Halafu kila MTU ana maisha yake duniani hapa.
Binafsi naona status za biashara za makampuni makubwa hadi ya nchi za nje. Daily napata status mpya za biashara tofauti tofauti duniani kotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…