Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
We mwenyewe mkwepu jr anakushangaa mwanaume mzima unaandika uzi Jf, wakati yeye aki react tu inatosha. Usiwapangie watu cha kufanya kama ambavyo ww hupangiwiHii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Hajui kwamba hao wanaoweka status hawajawahi kuanzisha uzi Jf, sijui anawashwa na kitu gani πAnayeweka status whatsap Hana tofauti na wewe ulieleta uzi hapa JF tofaut ni interest tu
Mkuu nimejikuta nimewaza sijui kama na wewe ndicho ulichowaza maana nikafanya na reflection za kule X.Hii JF hii π
Atakua mbogamboga huyoMimi kuna jamaa nimeona jana wameweka status za kumpongeza Prof. Janabiπ
Mkuu nimejikuta nimewaza sijui kama na wewe ndicho ulichowaza maana nikafanya na reflection za kule X.
Swali gani hili mkuu? Lengo lake ni nini? Haya sasa mimi ni Msukuma. Unataka nini? Kama una njaa njoo tupate msosi ushibe ili uache kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Tena chukua hii picha ukaiweke katika Whatsapp status yako kabisa! π π πWewe ni msukuma?
Nakubaliana na wewe!Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Ulimola ngoshaSwali gani hili mkuu? Lengo lake ni nini? Haya sasa mimi ni Msukuma. Unataka nini? Kama una njaa njoo tupate msosi ushibe ili uache kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Tena chukua hii picha ukaiweke katika ststus yako kabisa! π π π
View attachment 3339526
Watakwambia tunaenda na wakati!Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Mkuu, Status ni ubao wa taarifa unless phonebook yako ndo umesave wajinga wajinga ila kama una watu wanaojielewa ile haina tofauti na mbiu ya mgambo za zamani vijijini.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Na wanashabikia mpira wanapata faida gani labda tuanzie hapoHii kitu imenishinda kabisa.