Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Pia kuna na zile stories za mashuleni ndani ya vyoo kuna majini mafupi🀣
Ahhh wewe kweli legend 😁. Nakumbuka tulikuwa tunaogopa kwenda shule mapema sababu ya majini..

Kwamba kuna wanafunzi waliskia harufu ya pilau, walipoifuatilia hadi chooni wakakutana na sinia limejaa pilau kuku. Kimasikhara wakaanza kula lakini chakula hakiishi. Mara paap jini akatokea na akawashurutisha wale hadi wamalize. Mwisho wa siku wakapasuka tumbo 😁😁..

Hapo ukiangalia shuleni kuna vyoo havitumiki na vimezungushiwa miti ya miba.. Unaamini 😁
 
Dah basi Tafuta mshangazi akupe Mahari upeleke kwao uoe .. ujilie vya halali bila stress za watoto wa elfu 2
 
Halafu kweli kulikua na vyoo vimewekwa miiba karibu kila shule😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…