Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Stori za vijaridani
 
D
Dramatic gelz huwa hawajakupenda wako kimaslahi nakushauri mkuu achana na mapenzi wekeza nguvu zako sehemu nyingine TU
 
Hata na yenyewe yatakuua tu 😅
 
... pole sana mkuu! Hao wadudu huwa wanapenda vijana bikra na sio watu waliomaliza staili zote mpaka wakakopa na zile hazipo kihalali!
🤣
 
Pia kuna na zile stories za mashuleni ndani ya vyoo kuna majini mafupi🤣
Mara unaambiwa choo Cha mwishoo usiingie utakuta sufuria na kitunguu kinachojikata chenyewe kwa kisu bila kumuona MTU
 
Nishawahi kujinyea kisa huo upuuzi yaani nilikuwa naogopa kwenda chooni nimeacha kuogopa kwenda mwenyewe chooni nikiwa chuo
Heee ulikuwa mtu mzimaaa kabisaaa 😂 Daah kumbe inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…