Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
Shangazi og ni dadake baba yako.

Mke wa mjomba kwa kiswahili sanifu huitwa mama.

Kwa kisukuma mke wa mjomba ni 'kumba', yenye tafsiri pana na ya kushangaza kuliko hizo mbili hapo juu.

Sijui wahenga waliwaza nini katika kuasisi mila ya namna hiyo!
 
Sasa dada wa baba akiwa shangazi inazuia nini mke wa mjomba naye kuwa shangazi, kwani ni maneno mangapi kwenye lugha huwa yana maana zaidi ya moja, hizo shule sijui huwa mnaenda kusomea vitu gani
Weka jibu toa ufafanuzi sio kujifanya wajua kumbe hujui
 
Back
Top Bottom