Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Kazi ya wadigo hii na watu wa pwani matusi kwao ni Kama chakula.Msituletee matusi yenu ya nguoni hapa.Mkaza Mjomba maana yajke nini?
Kazi ya wadigo hii na watu wa pwani matusi kwao ni Kama chakula.Msituletee matusi yenu ya nguoni hapa.Mkaza Mjomba maana yajke nini?
MKe wa mjomba kuitwa shangazi siyo sahihi, tumetooa kwenye lugha ya kiingereza AUNT na pia kiswahili tunababa mdogo, baba mkubwa ambayo nayo kwa sasa tumeanza kuitwa AUNCLESNijuavyo mimi dada ake na baba ndio shangazi maana kazaliwa pamoja na baba sasa huyu mke wa mjomba nae kwanini aitwe shangazi na ni upande wa mama?
Wote