Neno "mkaza" kama linavyotumika katika neno "mkaza mjomba" linamaanisha "mke wa mjomba"mm nimezoea kumuita mama mjomba, japo kwa kiswahili fasaha huitwa MKAZA MJOMBA. ndie anayehusika kwa 101% kumkaza uncle vizuri.
Unakaribishwa mkuu
Wapi huko🥰Unakaribishwa mkuu
Mjomba ni yule aliezaliwa na mama yako tuWote ni walewale maelezo tofauti acha ujinga
Na mimi ntakuuliza yupi ni mjomba kati ya kaka yake mama yako au mume wa Shangazi yako utajibu nini? Loafers
Baba shangaziNa Mume wa shangazi utamwitaje?
Upi?Mjomba ni yule aliezaliwa na mama yako tu
Kwa mashangazi og according to youWapi huko🥰
Natamani nikupate ila sijui naanzaje😉Kwa mashangazi og according to you
Mkaza mjomba.Je kwa kiswahili fasaha mke wa mjomba inatakiwa aitwe nani
Sipatikani mkuuNatamani nikupate ila sijui naanzaje😉
Mmmh okSipatikani mkuu
Tuko busy na uchaguzi
Shanghazi ni dada yake baba🤣
La mkaza mjomba la wadigo hili Wala siyo kiswahilijina gani?
Msituletee matusi yenu ya nguoni hapa.Mkaza Mjomba maana yajke nini?La mkaza mjomba la wadigo hili Wala siyo kiswahili
Sasa na wewe mbona unaandika Kiingereza?😁.... mke wa uncle nae ni uncle tu not more than that