Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Kwa kinyamwezi kule Tabora dada wa baba tunamuita Sengi,na mke wa mjomba tunamuita Kumba..Wote ni mishangazi tu.Kwa wachaga Kule kibosho mke wa mjomba tunamuita Mama Mjombaaa. Na dada wa baba tunamuita Shangaziii.
 
Kwenye kiarabu huko ndo balaa tupu, waingereza wao tabu hawataki kabisa uncle & aunt imeishaaaa
Hata sisi tunafuata mfumo wa kiingereza:
1. Shangazi ni dadake na baba, dadake na mama, au mke wake na mjomba.
2. Kinyume cha kila mmoja hapo juu ni mjomba.
NB. Baba na mama mdogo hawapo tena.
 
Dada wa baba nijuavyo ndie shangazi
Mke wa mjomba sifahami anaitwaje mi naona kumwita shangazi Kama ilivyo zoeleka si sahihi
Ndio maana kule TA wao wakamwita mkazwa mjomba 😀
 
Back
Top Bottom