Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Wote ni walewale maelezo tofauti acha ujinga

Na mimi ntakuuliza yupi ni mjomba kati ya kaka yake mama yako au mume wa Shangazi yako utajibu nini? Loafers
Mjomba ni kaka wa dada huyo mume wa shangazi tunamuita baba shangazi au shangazi kabisa
 
Back
Top Bottom