Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

Dada wa baba ni shangazi na mke wa mjomba ni shangazi. Maana kimazoea mke wa mjomba atamuita mama yako wifi na baba yako kaka.
Hayo ya kuitana hata majirani wanaweza kuitana Wifi, ila kiundugu mke wa mjomba siyo shangazi maana unshangazi ni undugu haufi hata mkikosana.
 
Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
Kwa kiswahili sanifu wote ni shangazi.
Ila kwa baadhi ya mikoa na kabila ili kuwatofautisha mmoja huwa anaitwa mkaza mjomba.
Japo sijajua huwa anamkaza nini huyo mjomba hadi kuitwa Mkaza mjomba
 
Back
Top Bottom