mambo ya kidigo tenaDada wa baba ndiye SHANGAZI
Mke wa mjomba ni MKAZA MJOMBA
mambo ya kidigo tenaDada wa baba ndiye SHANGAZI
Mke wa mjomba ni MKAZA MJOMBA
kaka ake mama - khaal. dada ake mama - khaalah. kaka ake baba - ammu. dada ake baba - ammah.Hebu tupe somo kiongozi imekaaje hiyo
Kamusi ya TUKI inasemaje juu ya hili ?Dada wa baba ni shangazi
Mke wa mjomba pia ni shangazi.
Kwetu ni mjomba tuMkaza mjomba
Wote ni shangaziWataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
Mama tu kindugu na siyo shangaziKwa maana hiyo mke wa baba ako mkubwa au baba ako mdogo unamuitaje?
Ukifika Tanga na mikoa ya Pwani mke wa mjomba anaitwa " MKAZA MJOMBA" zingatia hapo mkazaJe kwa kiswahili fasaha mke wa mjomba inatakiwa aitwe nani
Nilijua tu haya majina yatakuwa ya wadigomambo ya kidigo tena
Sasa mke wa baba mdogo si namuita mama mdogo kwanini mke wa mjomba awe shangazi asiwe mjomba?Wote ni shangazi
Ila mmoja ni shangazi wa Damu,mwingine hapana.
Kama tu ilivyo kwa kaka yake Baba
Au Mume wa Mama mkubwa
Wote ni Bamdogo.
Uzi umevamiwa na wadigo huu, Sasa amkaza Nani ?Mke wa mjomba anaitwa mkaza mjomba hicho ndicho kiswahili chake
Labda tujaribu kupekua pekua huko mkuu.Kamusi ya TUKI inasemaje juu ya hili ?
Hasa ukizingatia inara ndogo ya 3 kifungu cBila kuathiri kifungu cha sheria ya mwaka 2010, inayowataka mashangazi wote kuwa na T3.
Hao wote ni shangazi 😎
jina gani?Nilijua tu haya majina yatakuwa ya wadigo