Huyu jamaa aliweka saa 24 kwa sirikali kumwachia mdogo wake.Kima tu yule hana jipya anatengeneza content ajipati3 umashuhuri nchini
Unamaanisha nini unaposema jamii ya walevi?Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Na wameongeza ulinzi km alivyowaambia nimeona... ulinzi wameongezaHuyu jamaa aliweka saa 24 kwa sirikali kumwachia mdogo wake.
Baada ya muda huo kupita bila utekelezaji ndipo yeye ataanza yake.
Kumbuka, haya ya kwake(kulipiza kisasi) hakuweka muda maalum wa kuanza au kumaliza.
Inabaki kisasi kama cha Palestina na Israel.
Anadai sio yeye ni AIMakamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Effects si umeziona, nasikia wa JWTZ wamezagaa huko Dar es Salaam si mchezoMakamanda Shalom!