Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ni hatar saiv tu kupata mbususu ni hela achana na kuoa.Achana na luku au gas mkuu, chukulia kitoto kinaumwa kimepandisha joto halafu kinahema kama kinataka kukata moto, halafu huna bima wala huna hata mia ndani.
Hujakaa sawa, wamekuitia msiba kijijini. Hapo lazima uanze kumkumbuka TX Moshi William na kuanza kuimba, wanaume tumeumbwa, matesoo matesoo kuhangaika.
Ni hatar saiv tu kupata mbususu ni hela achana na kuoa.
Upo sahihi kabisa MkuuNimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
We huna, kitu, pesa, inaamua uendeshe gari gani, watoto wako wasome shule gani, uishi wapi, upate huduma ipi ya afya,Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Kila nafsi itaonja kifo.Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Kazi ni kipimo cha utu.Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Mkuu u asubiri nini kupewa shahada ya heshima pale. Harvard University?Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Ni hatar saiv tu kupata mbususu ni hela aca Achana na luku au gas mkuu, chukulia kitoto kinaumwa kimepandisha joto halafu kinahema kama kinataka kukata moto, halafu huna bima wala huna hata mia ndani.
Hujakaa sawa, wamekuitia msiba kijijini. Hapo lazima uanze kumkumbuka TX Moshi William na kuanza kuimba, wanaume tumeumbwa, matesoo matesoo kuhangaika.
Ndo uchawi wao.Mkuu, wengine hela tunayo, mpaka mbusus tunazikimbia.
Zaidi ya hivyo, utakuwa mtumwa wa fedhaHakuna kiasi kwenye kutafuta pesa