Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ni hatar saiv tu kupata mbususu ni hela achana na kuoa.Achana na luku au gas mkuu, chukulia kitoto kinaumwa kimepandisha joto halafu kinahema kama kinataka kukata moto, halafu huna bima wala huna hata mia ndani.
Hujakaa sawa, wamekuitia msiba kijijini. Hapo lazima uanze kumkumbuka TX Moshi William na kuanza kuimba, wanaume tumeumbwa, matesoo matesoo kuhangaika.