Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

Achana na luku au gas mkuu, chukulia kitoto kinaumwa kimepandisha joto halafu kinahema kama kinataka kukata moto, halafu huna bima wala huna hata mia ndani.
Hujakaa sawa, wamekuitia msiba kijijini. Hapo lazima uanze kumkumbuka TX Moshi William na kuanza kuimba, wanaume tumeumbwa, matesoo matesoo kuhangaika.
Ni hatar saiv tu kupata mbususu ni hela achana na kuoa.
 
Kunawakati nakubaliana na mtoa mada, unaweza Kuta mtu kazini Yuko bize kutafuta pesa mpaka kuzulumu wafanyakazi wenzake alafu jioni unamkuta anazitapanya Kwa Malaya wa bar. Tutafute pesa Kwa staha, Haina haja ya kuua ili upate pesa ili ukanunue gari la milioni 100 wakati hata la milioni 30 lingefaa tu kama hiyo pesa ilikuwa ndani ya uwezo.
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.

Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.

Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Upo sahihi kabisa Mkuu
 
We huna, kitu, pesa, inaamua uendeshe gari gani, watoto wako wasome shule gani, uishi wapi, upate huduma ipi ya afya,
Kwenda kutikisa aghakan au mwananyamala pesa, inaamua! Unaijua infinity QX80! Ni, zaidi, ya, Vogue, pesa, inaamua! Ukitaka, kujua, pesa, ilivyotamu, nenda, airport usiku,wakati wewe unajivunia kupanda shabby luxury class, wenzio, ndege ni kama tex tu
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Kila nafsi itaonja kifo.
Lakini angalau wamejjaribu kujitibu kwa pesa walizochuma, je ni sawa na anayekufa bila hata kujaribu kuponya maradhi yanayomsibu?
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Kazi ni kipimo cha utu.
Mfano wako huo utumie kuendesha maisha yako na familia yako.

Tajiri amejitosheleza kimaisha lakini anafanya kazi kwa bidii, lakini masikini anaamka saa 4, mvivu, kazi kupiga mizinga, kutwa kwenye vijiwe kupiga umbea.
Mkuu Dini zote zinahimiza binadamu kufanya kazi kwa bidii ili ale kwa jasho lake.
Vinginecyo ni kweli kwamba "Pesa siyo kila kitu", lakini kutafuta na kumiliki Utajiri siyo dhambi.
Na hata Dini zetu zinahitaji pesa ili zistawi
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.

Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.

Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Mkuu u asubiri nini kupewa shahada ya heshima pale. Harvard University?

Yaani hata kina Andrew Chenge wanahitaji maneno yako
 
a Achana na luku au gas mkuu, chukulia kitoto kinaumwa kimepandisha joto halafu kinahema kama kinataka kukata moto, halafu huna bima wala huna hata mia ndani.
Hujakaa sawa, wamekuitia msiba kijijini. Hapo lazima uanze kumkumbuka TX Moshi William na kuanza kuimba, wanaume tumeumbwa, matesoo matesoo kuhangaika.
Ni hatar saiv tu kupata mbususu ni hela ac
Mkuu, wengine hela tunayo, mpaka mbusus tunazikimbia.
Ndo uchawi wao.
 
Pesa inakufanya ule chakula kitamu unachokipenda......
Pesa inakufanya uwe na magari makali, umiliki mali nyingi na pia uende kila pande za dunia kula bata....
Km hauoni umuhimu wa pesa basi umepoa na hauna baya.... Halaaaa
 
We kweli STD 7 failure una viwango vya akili vya kibashite
 
Back
Top Bottom