Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

  1. Head na content ni Lila na Fila
  2. Blinken alionana na Mwana Mfalme Mohammed Suleiman, wakaongea na Blinken kuondoka
  3. Uache uongo. Thibitisha source za uzi wako
 
Umenena vyema kaka. Tatizo watu wengi hawapo well-informed. Huwa wanasikiliza story za vijiweni tu.

IDF wana hesitate tu kuingia Gaza kwakuwa wanajua ndio stronghold ya Hamas na jamaa wameshaandaa traps na countermeasures.

Sasa kama IDF ina hesitate kwa Hamas vipi kuhusu Hezbollah? Mpaka sasa Israel wanaonekana ku fail ndio maana wanaishia tu kufanya ukatili kwa raia wasio na hatia.

Hawezi kupigana vita in three fronts. Apambane na Hamas huku kaskazini kuna Hezbollah then aingie hapo Iran.

Bila intervention ya US na washirika wake Israel is nothing but a joke.
 
Wacha mshikishwe adabu
 
  1. Head na content ni Lila na Fila
  2. Blinken alionana na Mwana Mfalme Mohammed Suleiman, wakaongea na Blinken kuondoka
  3. Uache uongo. Thibitisha source za uzi wako
Angalia hapa utaona.Hakujitokeza na wala hakupeleka salamu.Jamaa akabaki anapigwa na feni tu akinywa kahawa.Kwa aibu akabembeleza kuwa atasema nini akirudi bila kumuona.Badala ya kuondoka siku hiyo kama alivyopanga ikabidi alale mpaka asubuhi ndipo akafanikiwa kumuona kwa haraka.

Saudi Arabia’s Crown Prince snubs Joe Biden’s top diplomat

 
Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
Very sad, Israel ndiye mwenye uwezo wa kumfanya hivyo Ir@n
 
Nendda kkadanganye watoto wenzio Hezbollah tu waliwatoa jasho hadi LA meno Israel hana uwezo uwoo anaosifiwa zaidi ya nguvu kkutoka magharibi kkma hamasi tu miaka nenda rudi wameshindwa kkuwapoteza na apo hawana makombora makubwa,ndege za kivita, viffaru, wala jeshi kubwa ila wanawatoa jjasho
 
Israel na Egypt ndio mataifa yanayoongoza kupata misaada kutoka Marekani. Sasa shangaa Israel anashindana na vikundi vya wanamgombo Hezzbollah na Hamas miaka yote na ameshindwa kuvimaliza. Sasa hivi kila nchi iko vizuri kijeshi. Russia wameshindwa Ukraine. Marekani wamewashindwa Talebani.
 
Kwanini usishangae Israel anadaiwa maeneo na Jordan, Syria, Palestina na hashindwi. Unganisha Waarabu wote wapigane nae na hawamshindi na kaeneo kake kadogo.
Hamas ndio hawa anafagia uwanja mzima si mnadai wanamshinda, kawahamisha na wamehama nyie lalamikeni. Anawalipua hadi hospitalini.

Ameshindwaje na vikundi vya wanamgambo wakati vinaishi kambi za wakimbizi na mafichoni.
 
Fanya utafute demu kama huwezi sema tukusaidie punyeto zina madhara makubwa kwenye uwezo wa kufikiri.
 
Israel anaamini hayo maroli yatakuwa yamebeba na silaha na kuwa balaa kwao
 
Kwa kibri hicho ndio maana waliuliwa sana ulaya na walikuwa hawatakiiwi popote pale. Fupa lililomshinda mzungu ndio akatupiwa mwarabu acheze nalo🤣🤣
 
Atawezaje kupunguza misaada wakati ndani ya taifa la Marekani kuna almost waisrael M 8 halafu ndio wameshikilia nyanja muhimu?
Never happened. Bado saana
If that's the case walikua wapi pale waisrael million 6 walipochinjwa na Hitler? Alafu Acha kukariri huko US kuna ethnicity zote kuna wachina na wahindi zaidi ya 15 Million. So its not like Jews wana changia pakubwa kwenye population ya US. Hata waarab tu wapo million 5 hapo USA!! So kusema kwakuwa kuna wayahudi million 8 basi ndio wasaidiwe vipi kwa hao wachina?
 
Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
Sio rahisi hivyo,Iran keshawahi mpiga nani kwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…