Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

Hiii kwangu mwanamke huwa ni marufuku kukwepa majukumu yake hata akinuna mwaka mzima anune tu.

Majukumu haya lazima atimize
1. Kupika au kusimamia mapishi kwa wanaopika
2. Kusimamia watoto
3. Kusimamia usaf wa nguo za baba
4. Kuhakikisha ninapata ngono kwenye papuchi yake ninapohitaji
 
Kwa maelezo yako tatizo halipo kwa mkeo bali lipo kwako kwa kulea upumbavu.
Yaani unaingia jikoni kupika eti kisa mkeo kujinunisha kwa mambo ya kijinga huyo alikuwa wa kuzaba vibao viwili ili akili zimkae sawa.
 
Abaya ndiyo manini hayo mnunulie kaniki mavazi ya kiafrika atatulia.
 
Jamani eeeeeeehh lakini mapenzi siya wawili wenyewe wamependana kabisa mpaka wakaoana na kuzaa pia sasa ujinga ufala na maneno mengine mabaya yanatoka wapi?? Ila kweli braza umezingua kuleta mambo yako binafsi hizo ni person issued sasa kubali kila neno liwe baya au Zuri jua umelitaka mwenyewe............lakini mpende mkeo na mdekeze kadri unavyojaliwa. Na mwenyezi mungu huyo ndio msiri wako wa kukusitili siku ukianza kujialishia baada ya kushauliwa vibaya ukawale madudu poli
 
Abaya ni mdudu gani?
 
Kwahiyo bunge la nyumba yako ni bunge la mtu mmoja? Budget unaipanga bila input ya mkeo? Ndoa ni ubia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…