Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei.
Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni serikali, kwanini serikali isifanye utafiti ijui uhalisia wa soko, nyama ni kitoweo cha lazima sawa tu na mafuta.
Tunaishauri serikali iunde mamlaka ya kudhibiti bei za nyama